Nchi hizi sasa ziko vitani Iran hawazuiliwi kuuwa nuclear scientist wa Israel.Ni ubabe tu, Israel ana nyukria na hataki kuchunguzwa, kama Iran akisema aue hao wanasansi ya Israel, itakua international outrage kua wameua raia
Kwani kuua mtu vitani unahitaji ruhusa ya nani?
Kama wanaweza wanasubiri nini?