Hivi Wanasayansi wa Nyuklia wa Iran wamekosea Nini kustahili kuuawa na Israel?

Hivi Wanasayansi wa Nyuklia wa Iran wamekosea Nini kustahili kuuawa na Israel?

Mi kila siku nawasikia tu mkisema Israel ana silaha za nyuklia hayo ni kweli au uongo kwa maana tawala zote za Israel hakuna hata mmoja aliyewahi kusema kwamba wanamiliki nyuklia
 
Hii tabia ya Israel ya kujisikia kutaka kumuua yeyote inaemtaka haipaswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika.

Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za Nuklia. Hii siyo Haki ya Iran tu bali hata Tanzania inayo.

Inapotokea nchi Moja inaipangia nchi nyingine hii siyo sawa jambo hili lidhibitiwe.
Iran anayo Haki ya kutumia Nuklia hata kutengeneza silaha za nuclear, ndio mbona wao wanazo.
Ukimsikiliza huyu Sheikh Imran Hosein ndiyo utajua kuwa kweli hii dini ni ya kishetani. Na walichofunzwa ni chuki tu dhidi ya Israel na jews na wakiristo.
1. Adai ati hata yale mauwaji ya Kashmir ni Mosaad walifanya
2. Ati mosaad waliwatumia Jihadist wa Syria kuiangusha Serikali ya Assad ili wapate njia nyeupe ya kupitisha ndege zao kushambulia Iran
3. Asema Israel inaishambulia Iran ikiwa ni maandalizi yao ya kuja Messiah wao pale Jerusalem. Huyo Messiah wao waislamu wanamtambua kuwa ni Messiah Dajjal na wakristo wanamtambua kama Anti Christ
Maislamists ni mafundi wa Taqqya pale wanapotetea agenda yao.
Hapo kama ilivyo kwenye maandiko yao wanataka kuwapaka matope wayahudi kwa kila baya linalotokea
Na pia hapo kwenye 3. wanataka kufarakanisha kati ya wayahudi na wakiristo. Mkiristo anayeijua Biblia vizuri haingii kwenye Mtego huu; Labda wale Wafuasi wa Pope Francis tu

View: https://youtu.be/8eKc9TnR_9s?si=l6pZTrZ-eqUw3ESn
 
Hii tabia ya Israel ya kujisikia kutaka kumuua yeyote inaemtaka haipaswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika.

Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za Nuklia. Hii siyo Haki ya Iran tu bali hata Tanzania inayo.

Inapotokea nchi Moja inaipangia nchi nyingine hii siyo sawa jambo hili lidhibitiwe.
Iran anayo Haki ya kutumia Nuklia hata kutengeneza silaha za nuclear, ndio mbona wao wanazo.
Hapo ndio utajuwa ni Kwa kiasi gani Israel ameadvance kwenye vita wakati Iran anatuma mibomu kama mjinga pasipokujali kina mama na watoto na wengine wasio na hatia
Lkn Israel hajtaka kufanya hivyo ili kuepusha kuuwa raia so mbinu zake Kwanza anapiga maeneo muhimu kama kambi za jeshi ,stool za siraha,wakuu wa majeshi na hao watengeneza siraha lengo ni kuhakikisha anapunguza wataalum wa vita na vitendea kazi ili kwake iwe rahisi kumdominate Iran Kwa mda mrefu
Coz kama Israel atafanikiwa kushinda manaake Iran itachukuwa mda mrefu kuunda jeshi imara kama hili walilokuwa nalo ili wakalipe kisasi
Na ikitokea vita vimeisha Kwa makubaliano but tayar kwenye project za nuclear za Iran zitakuwa zimerudi nyuma ni kama wanaanza na moja hivyo katika hii vita hadi sasa Israel malengo yake mengi yamefanikiwa ila Iran anafeli kupiga makazi ila ili kushinda Israel ua Kwanza hao wakuu wake wa vita ikiwemo wazir mkuu Netanyau
 
Kwa akili yako unazani kuua hao wataalamu itakuwa wamewamaliza na hawatatokea wengine?
Watatokea ila ni baada ya mda gani? Kwasababu hapo unaongelea watu magenius wa vita sio Tu mwanajeshi ilimradi anajuwa kushika bunduki lkn lazima awe mtu mwenye utashi mkubw mfano mdogo chukulia Netanyau Kafa au Tz tulivyompoteza Magufuli unadhani Tz itachukuwa mda gani tena kupata mtu jasili kama yule
 
Ni kweli but mambo siyo marahisi hivyo mana hapo zinahitajika akili kubwa Sana ambazo zinazaliwa mara chache
 
Hivi unasemaje kulifuta taifa lenye nguvu.
Hizo ni lugha tu za utaifa, kama ambavyo Korea kaskazini au China zimetishia kuzifuta S.Korea na Taiwan kwenye ramani na ziwe sehemu ya nchi hizo ila sijawahi sikia USA imeenda kuzipiga N.KOrea!!
Alafu adhamini vikundi vipigane na russia
Yes hata Israel ina support vikundi vya kigaidi HTS, Kurds huko uturuki na SDF ya Syria, RSF ya Sudan zote hizo ni magaidi. Umewahi ona Israel inaitwa mfadhili ugaidi?
na Iran alianza kupiga Israel
Acha uongo, Iran alipiga baada ya shambulio la kuua viongozi wa Iran mfano kule Syria na mwingine nchi moja ya uarabuni ndio kuanza kulipa kisasi.

Kwanini Israel inapenda kucheza victim card? Hata Hamas mlisema wao ndio walivamia Israel na kulianzisha!! Ila mnasahau Palestine imekaliwa kimabavu na Israel kwa miaka 70 sasa ila wakijitetea unaambiwa ndio wakorofi? Alafu watu hao hao mnaunga mkono Ukraine kujikomboa kwa urusi!!

Unafiki kila sehemu
 
Ni kweli mkuu ila kupoteza more than 20 expertise ktk jambo fulani sio kitu kidogo. Imagine tuu hapa TZ kwa mfano tupoteze ma doctor 10 at once nini kitatokea
Miaka yote mbona huwa wanauwawa ila utengeneza uranium upo pale pale!! Nchi zimejipanga, unakuta kila mwaka watu wanaenda kusomeshwa huko Urusi masuala ya kuboresha uranium.
 
Kuna shida yeyote Iran kuwasaidia wapalestina wapate Uhuru wa nchi Yao? Nadhani wewe ndio ufanye homework vizuri kujua kwanini wapalestina wananyimwa Haki Yao ya kuwa na taifa huru.
hakuna shida ndio maana wanaliwa vichwa wanasayansi wenu

Kwani kuna shida??!

mwenye nguvu ............
 
Kabisa mkuu shida watu wengi awaelewi kwanini Iran iwe tagert kuu ya Israel. Hawafanyi tafiti
Mnautetea umagharibi yaani marekani awe super power haiwezekani dunia ili iwe salama bora mchina na mrusi wawe juu afrika pia ipumue
 
Mkuu kauli ya nchi ya Iran kuifuta Israel kwenye USO wa dunia. alafu aliyetamka kauli hiyo anataka kutengeneza mabomu ya nyukilia. Na anafadhil vikundi unavyopambana navyo. Je utamwacha tu ukikenua meno?.
Anachokifanya Russia kwa Ukraine
ndicho anachokifanya Israel kwa Iran
Kama umeshajua kuwa anachokifanya urusi dhidi ya Ukraine ni haki yake

Basi pia mda si mrefu pia utajua kuwa Iran yupo sahihi

Maana hizo vita zote mwanzilishi ni Marekani
 
Kama umeshajua kuwa anachokifanya urusi dhidi ya Ukraine ni haki yake

Basi pia mda si mrefu pia utajua kuwa Iran yupo sahihi

Maana hizo vita zote mwanzilishi ni Marekani
Kwanini Sasa urusi na Iran wasimpige mmarekani sababu wanajua ndio muanzilishi shida Iko wapi si wampige
 
Kwanini Sasa urusi na Iran wasimpige mmarekani sababu wanajua ndio muanzilishi shida Iko wapi si wampige
Swali zuri sana. Na rais aliyepita wa marekani alienda Ukraine wakati vita inaendelea kwanini mrusi asingemaliza huko huko.
 
Mnautetea umagharibi yaani marekani awe super power haiwezekani dunia ili iwe salama bora mchina na mrusi wawe juu afrika pia ipumue
Umelishwa matango. Kila bara Lina life style yao. Hawana Mila za kukaa nyumba za tembe Kama Africa. Ulitaka wavae lubega Kama wamasai?. Arafu kwanini mnajisahulisha kuhusu Russia?. Russia ni mzungu pia na akiguswa maslahi yake anapigana. Kwahiyo hata akiwa super power lazima atakaa kuangalia nani anataka kuja huku nilipo atamdhohofisha ndivyo ilivyo duniani kote. Uoni ccm walidili na nccr isiwe na nguvu . Wakaja kwa cuf. Leo kila kukicha wanadili na chadema. Act ikija na nguvu za kupambana na ccm wataamiakuikandamiza act. Kwahiyo hata Russia akiwa super power lazima utamchukia Kama unavyoichukia USA
 
Hii tabia ya Israel ya kujisikia kutaka kumuua yeyote inaemtaka haipaswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika.

Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za Nuklia. Hii siyo Haki ya Iran tu bali hata Tanzania inayo.

Inapotokea nchi Moja inaipangia nchi nyingine hii siyo sawa jambo hili lidhibitiwe.
Iran anayo Haki ya kutumia Nuklia hata kutengeneza silaha za nuclear, ndio mbona wao wanazo.
Dunia haijawahi kuwa na usawa, haina usawa na haitatokea ikawa na usawa. Ni kila mmoja ajipambanie.
 
Hii tabia ya Israel ya kujisikia kutaka kumuua yeyote inaemtaka haipaswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika.

Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za Nuklia. Hii siyo Haki ya Iran tu bali hata Tanzania inayo.

Inapotokea nchi Moja inaipangia nchi nyingine hii siyo sawa jambo hili lidhibitiwe.
Iran anayo Haki ya kutumia Nuklia hata kutengeneza silaha za nuclear, ndio mbona wao wanazo.
mwenye nacho anaongezewa
 
Back
Top Bottom