Hivi Wanasayansi wa Nyuklia wa Iran wamekosea Nini kustahili kuuawa na Israel?

Hivi Wanasayansi wa Nyuklia wa Iran wamekosea Nini kustahili kuuawa na Israel?

Ni kweli kwamba Iran ina idadi kubwa ya wataalamu wa nyuklia waliobobea, lakini operesheni zinazofanywa na Israel dhidi ya wanasayansi waandamizi wa Iran zimekuwa na athari kubwa, zimesababisha kucheleweshwa kwa kiasi kikubwa, na huenda zikaweza kuzima kabisa juhudi za Iran za kutengeneza silaha za nyuklia. Kama operesheni hizo zisingekuwepo, huenda Iran ingekuwa tayari imefanikiwa kufikia hatua ya kuwa taifa lenye silaha za nyuklia. Hapa tunazungumzia mkakati wa makusudi wa kuzuia au kulemaza jitihada hizo kabla hazijazaa matunda.
Kuzima kabisa hilo suala ni gumu mkuu.
Ila tuupe muda nafasi.
 
Kwanini Iran inataka kuiangamiza Israel,? Mbona kijiographia wapo mbali mbali
Sina hakika sana, nitaandika kwa mtazamo wangu binafsi, sija refer anywhere but through uzoefu wangu wa kukaa na Waislamu.
Waislamu wanawachukia sana Wayahudi, hili la Wayahudi "Kukaa kwenye ardhi ya Wapalestina" ni kisingizio tu. Muislam mwenye msimamo mkali atamchukua Myahudi popote alipo, hata kama Myahudi huyo hajawahi kabisa kufika nchini Israel, hili lipo kwenye makara zao, lipo kwenye maandishi yao. Wayahudi walianza kuchukiwa na mtume Mohammed pale Madina, Mohammed alianzia "utume" wake jijini Makkah, nadhani pia ndio palikua nyumbani kwao, baada ya kushindana na wenyeji (walitaka kumuua kwa uongo wake) akakambilia Madina, same country Saudi Arabia, Madina ni mjini uliokua ukikaliwa na Wayahudi wengi sana, nao walihamia hapo kutoka kwao wanapopapigania sasa hvi, Wayahudi walimpokea vizuri Mohammed, walimlinda na kumtunza, walikua wafanyabiashara wenye uwezo kifedha, you may call them, walikua matajiri. Mohammed alipoanza kuleta mbaga zake za utume, jamaa walimkatalia kumuamini but waliendelea kuishi nae kama kawaida, chuki yake kwao ilianzia hapo na hata Waislamu wengi wanawachukia sana Wayahudi chanzo ndio hicho; Wakristo nao wakaingizwa humo humo kwenye chuki hi. Now, Iran ni waislamu wenye msimamo mkali, what do you think about Jews? Hilo la kuwasaidia Wapalestina ni kijisababu tu
 
Israel ana nucs.lkn haijawahi kutishia kumpiga yeyote

Lkn ayatolah kila siku akiwa msikitin anaapa kuiangamiza israel akimiliki nucs

Utaona kabisa kuna watu wanastahili kuongozwa sio kuongoza
Halaf hivi kwani iran alifanyiwa nini kibaya na israel kias cha kutaka kuifuta israel kwenye uso wadunia?
 
Hapana ndugu Israel imeundwa kwa target ya kushambulia Uislam na hata Netanyahu alipo hutubia bunge la America alikuwa ana quote bible zenu.

Swali kwanini UK, France, USA, Serbia, Italy., Germany na hata Jordan wakimbilie kumlinda? Tupe reason kama si udini. Jordan yule mfalme ana damu ya kizungu kama si Kiyahudi.

Hapana. Israel haishambulii uislamu. Kumbuka wapo waisrael waislam. Na waisrael si wakristo. Waislamu wengi huwa na inferiority complex dunia nzima. Kwa nini Israel hagombani na Egypt, Oman etc? Iran inafadhili magaidi wanaokuja ua watu Israel na kusababisha Palestine pia isikalike. Hakuna haja ya kuweka udini hapa. Nyie mnapenda kuweka udini na hamtaki tumia akili au ku reason. Siku ile sisi tumeteka na kuua watu wa kiyahudi kulikuwa na sherehe humu JF umesahau?
 
Wachaa maneno mengi leo Netanyahu anasema anajilaumu kugusa Iran

View: https://youtu.be/Ooco7bBVkc8?si=NnT9ftdrtNbItHPp
 
China au Russia ni nchi gani moja wapo ya hizo ishasema kuwa wataifuta nchi nyingine kwenye uso wa dunia?. Iran Hilo ndiyo kosa lake angedili kimya kimya bila kuangaika na Israel angefanikiwa lakini kufanya kila kitu kijeshi kwa ajili ya Israel lazima jicho la Israel liwe pale mda wote.
Russia ilisema wazi kuwa ita annex Ukraine kuwa sehemu ya urusi

same to China wataichukua Taiwan kuwa sehemu ya mainland China.

Trump alitishia kuondoa watu wote Gaza na kuifanya sehemu ya USA.

Same to Israel inasema gaza itakua sehemu ya Israel na sio taifa huru.

Hata uturuki iliapa kuwafuta kabisa Kurds huko Turkey na Syria.

Ila hao wote sijaona wakiguswa na so called viranja wa dunia. Ila akisema tu Iran ndio inageuka kosa?
 
Huu ndio upuuzi ambao inatakiwa kupigwa vita. Kwa taarifa Yako hata Tanzania Leo hii haturuhusiwi kuwa na silaha za Nuklia. Je sisi tuna mtishia nani?
Tanzagiza tuzuiliwe tu. Shithole hii inavyozidi kuwa ya kipumbavu kila iitwapo leo chini ya viongozi wa sisiem wanaozidi kuwa fyatu kila siku, ikimiliki nuclear hata vikao na mikutano ya wapinzani itakuwa targeted kwa kutumia nuclear.

Nchi za shithole zingezuiwa kumiliki hata mabomu ya machozi zikapewa ruksa ya manati na kombeo pekee, tena kwa masharti maalum. Nchi ambayo mtuhumiwa anawekwa pamoja na waliokwisha kuhukumiwa wakisubiri kunyongwa bado inahitaji kudhibitiwa maana ni ya mataahira
 
Upo mpango wa neocons wa huko marekani toka kitambo kuwa hawataki nchi za middle east Iran included ziwe na Indigeneous knowledge ya mambo ya nuclear technology. Kwa hiyo wanahakikisha wanaua hata wenye knowledge.
Ni kweli wanazijua akili za watu wa middle east wangepewa nguvu hii dunia ingegeuka majivu
 
Russia ilisema wazi kuwa ita annex Ukraine kuwa sehemu ya urusi

same to China wataichukua Taiwan kuwa sehemu ya mainland China.

Trump alitishia kuondoa watu wote Gaza na kuifanya sehemu ya USA.

Same to Israel inasema gaza itakua sehemu ya Israel na sio taifa huru.

Hata uturuki iliapa kuwafuta kabisa Kurds huko Turkey na Syria.

Ila hao wote sijaona wakiguswa na so called viranja wa dunia. Ila akisema tu Iran ndio inageuka kosa?
Iran wanatekeleza kwa vitendo, tayari wanafadhili magaidi wapigwe tu
 
Tatizo Busara,busara na hekima ndio noma ilipo,,hapo ndio noma.
 
Russia ilisema wazi kuwa ita annex Ukraine kuwa sehemu ya urusi

same to China wataichukua Taiwan kuwa sehemu ya mainland China.

Trump alitishia kuondoa watu wote Gaza na kuifanya sehemu ya USA.

Same to Israel inasema gaza itakua sehemu ya Israel na sio taifa huru.

Hata uturuki iliapa kuwafuta kabisa Kurds huko Turkey na Syria.

Ila hao wote sijaona wakiguswa na so called viranja wa dunia. Ila akisema tu Iran ndio inageuka kosa?
Hivi unasemaje kulifuta taifa lenye nguvu. Unafikili Iran angetamka kuifuta Russia. Russia angemuacha? Alafu adhamini vikundi vipigane na russia. Huyo Iran ni adui wa wazi wa Israel hakuna Cha kushangaza hapo ni mda walikuwa wanatafutana na Iran alianza kupiga Israel miezi kadhaa iliyopita Israel akajibu pakatulia now Israel kaanzisha yeye.
 
Wachaa maneno mengi leo Netanyahu anasema anajilaumu kugusa Iran

View: https://youtu.be/Ooco7bBVkc8?si=NnT9ftdrtNbItHPp

Screenshot_2025-06-16-22-31-20-715_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-16-22-38-49-478_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-16-22-37-57-551_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-16-22-41-09-810_com.instagram.android.jpg
 
Haifa Refinery ipo out of order leo drones za Iran zimedestroy zile long rage air defense afu Iran anasema Missiles zinaelekea israe. Israel
hawapati information kama vile Iran anazichezea Air defense zao leo watashtukia vitu vinagonga kama kwenye tv channel yao eti hawajui sababu ya broadcast kupotea hahaha
 
Back
Top Bottom