Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Anaytishia kupiga wenzie bila kuwapiga na anayevamia na kuwapiga wenzie kwelikweli nani mbaya zaidi?Israel ana nucs.lkn haijawahi kutishia kumpiga yeyote
Lkn ayatolah kila siku akiwa msikitin anaapa kuiangamiza israel akimiliki nucs
Utaona kabisa kuna watu wanastahili kuongozwa sio kuongoza
Iran haijaanzisha vita na taifa lolote lile kwa miaka zaidi ya 200 iliyopita. Israel yenyewe kila kukicha inaua wapalestina wasio na hatia.