Hivi wanawake kuwakataa wanaume kiugomvi wanapotongozwa ni Afrika tu au ni janga la kidunia?

Anaweza kukataa Tu lakin baada ya apo anakataa aje? Nazan katika umri ulionao uwezi kunimbia kwamba wanawake wote uliotongoza wamekubali, JE wanaokataa bado mnaendelea kuwa na ushirikiano kama MWAnzo na kakukataaje?
 
Ukimuomba mtu mtoke pamoja akikataa kakukataa Tu,JE anakukataaje na baada ya apo mausino yanakuwaje au ndo akikuona Hana Raha.
Ukiona hali hiyo inatokea ujue umemkera.
Kuna namna ukimtongoza mwanamke hujenga chuki kwa kuona umemdharau.

Kila mwanamke ana namna yake ya kumtokea, ukifanya vinginevyo unamkosa.
1. Kuna wanawake pesa kwao ni kanuni namba 1, ukimpa au ukaonyesha dalili za pesa hapo kwake amelowana.

2. Kuna hawa hujifanya wagumu kwanza lkn deep down yuko tayari anataka umuonyeshe kweli uko siriazi unamtaka atakusumbua kwa muda lkn sio kuwa hakutaki bali angalau ajiridhishe.

3. Kuna wanawake flani nao ukitanguliza pesa huona umemshusha thamani huyu anaweza kukubonda kwa maneno makali sana kuwa kitendo hicho umemshusha thamani...sio kwamba hawapendi pesa au hawataki...no, wana namna yao ya kuwa aprochi...ukimuwezea huwa wana mahusiano matamu sana.

Hitimisho:
Kabla hujaanza blablaa zako za mtongozo hakikisha umeshamjua unayemtaka ni mtu aina gani kati ya hao watatu.

Note: wanawake wote duniani wanapenda pesa lakini wanatofautiana namna ya kutaka kupewa hizo pesa.

Nawaita hapa watupe somo wenyewe: Hannah Joanah To yeye Amehlo
Nourhan Kapeace ephen_
 
Anaweza kukataa Tu lakin baada ya apo anakataa aje? Nazan katika umri ulionao uwezi kunimbia kwamba wanawake wote uliotongoza wamekubali, JE wanaokata bado mnaendelea kuwa na ushirikiano kama MWAnzo na kakukaaje?
Kijana.
HIi ni kweli, sikumbuki ni lini nilitongoza.
Sina kawaida ya kutongoza kabisa bali nikimtaka mtu huwa najenga mazingira....kuna wakati mhusika mwenyewe unafika wakati hawezi kuvumilia anakutaka kwa akili tu.

Mimi namalizia
 
Kwasababu yeyote Ile atakayokukataa nayo ,je bhado mtaendelea kushirikiana kama zamani au ndo hata kama mko nyumba moja hata seblen hakai tena
 
Kwasababu yeyote Ile atakayokukataa nayo ,je bhado mtaendelea kushirikiana kama zamani au ndo hata kama mko nyumba moja hata seblen hakai tena
Yes, ikitokea mtego umegoma why msiendelee?
Mtu anakupa sababu nzuri tena anatamani muwe naye lakini kikwazo ana mahusiano siriazi...hii ni sababu nzuri na ya kuheshimu
 
Kwani Joannah anasemaje yeye?
 
Kuna baadhi ya mambo yanafanya KAZI kiukweli lakin siyo 100% na kwahiyo tutegemee kukataliwa kwenye mazingira flani na ndipo tunapokuja jinsi ya kukataliwa ndo inakera
 
Kijana.
HIi ni kweli, sikumbuki ni lini nilitongoza.
Sina kawaida ya kutongoza kabisa bali nikimtaka mtu huwa najenga mazingira....kuna wakati mhusika mwenyewe unafika wakati hawezi kuvumilia anakutaka kwa akili tu.

Mimi namalizia
We unatengeneza mazingira anayakataa hayo mazingira tena harshly (vibaya),na saa nyingine mtu umempenda na hakuna uwo muda wote WA kutengenza hayo mazingira
 
Huyo demu achana nae Fanya maisha yko mkuu,
 
We unatengeneza mazingira anayakataa hayo mazingira tena harshly (vibaya),na saa nyingine mtu umempenda na hakuna uwo muda wote WA kutengenza hayo mazingira
Wewe una fujo.
Pili unataka ulitakalo liwe.
Mwanamke mliyetengeneza urafiki hawezi kukufanyia hivyo.
Wanawake ni wema sana ukiwa mwema kwao.
Jichunguze
 
Wewe una fujo.
Pili unataka ulitakalo liwe.
Mwanamke mliyetengeneza urafiki hawezi kukufanyia hivyo.
Wanawake ni wema sana ukiwa mwema kwao.
Jichunguze
Anakataa urafiki tena anakataa vibaya kwann akataye vibaya?
 
Ulichokosea au mnachokosea watu wa aina yako ni kutongoza moja kwa moja mwanamke.
Kama mwanamke uko nae karibu kama ulivyosema yaani kazini,Kanisani nk, unachotakiwa kuanza kufanya ni kuwa karibu nae na kumuonyesha kwamba unamjali na hii itasaidia kuanza kuibua hisia kati yenu.
Huyo wa kutongoza moja kwa moja labda uwe umekutana nae barabarani na kwa mazingira hayo kupata majibu ya jeuri ni asilimia 90.
 
Hakupendi hakupendi tuh,namna yake ya kukataaa ndo kero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…