Hivi wanawake kuwakataa wanaume kiugomvi wanapotongozwa ni Afrika tu au ni janga la kidunia?

Hivi wanawake kuwakataa wanaume kiugomvi wanapotongozwa ni Afrika tu au ni janga la kidunia?

Mzee,
Kwani si tulikubaliana?😁😁 hata hivyo nalipiza tu ulishawahi nifanyia unyama 😁😁😁
Aaaah Sasa Bora nipambanie Huba langu atanisamehe niendelee nae,kumbe unataka kulipiza tu😏😏😏
 
Wanawake wagomvi typing………..
Walimu wa kiswahili typing…………..
Tafuta pesa typing…………..
Achana naye usimbembeleze typing……….
Yuda Eskariot hujambo🕵️🕵️🕵️
 
Mimi naamini mwanamke anaweza kukukataa kabisa na mkaendelea kushirikiana tena bila changamoto yeyote.

Fikiria mko ofisi moja ,mnafanya biashara pamoja,mnasali pamoja ,mnasoma pamoja n.k.mtu kakutongoza afu unamkataa kama Pepo au unamjibu vibaya , mwanaume unakuta Hanashida kashapotezea lakin unakuta mwanamke Hana Amani kabisa anaishi kama kunakaugomvi flani .

Mimi siamini kwamba eti kumtaa mtu vibaya kunaonyesha msisitizo ya kwamba hutaki,ziko njia nyingi za kumuonyesha mwanaume msisitizo kwamba humuitaji lakin siyo majibu mabaya

Na hatakama unamzarau mwanaume kiasi gani au humpendi kiasi gani au unaona Hana adhi yakuwa na wewe. Umetongozwa hutaki usitumie kama njia ya kumuonyesha jinsi gani unavyomzarau kataa Kwa hekima, mwanaume NI mtu Haya ni maisha huwezijua kesho. kunawatu Wana visasi unaezamchukulia simple ukatoka na mauti

Labda NI waambie wanawake kumkataa mwanaume bila kugombana naye na ukaendelea kushirikiana naye ,utaonyesha upekee WA Hali ya juu ,utaonyesha ni mwanamke jasiri usiyeyumbishwa. Mwanaume anaeshimu Sana maamuzi unayochukua unapotongozwa, mambo ya kugombana na mtu wakati NI Jambo linaloepukika NI upumbavu

Wanawake wekeni akilini kuwa kumkataa mtu Haina maana ya kwamba NI mbaya au siyo handsome
Hapana, NI kwamba hamwendani Tu na ndo maana wewe ukimkataa utakuta kesho Yuko na mwingine saa nyingine mzuri kuliko wewe , kinachomaanisha kwamba mlikuwa hamwendani.
Wakal wa hiz kaz hatutongozag... Huhitaj kumwambia mwanamke maneno meng.
Ukishazoeana na mwanamke. Kitendo cha kupata muda nae kuchat. Dinner.. dates... Bas kwisha.. mkaribishe home akikubal mara mbili tatu bas umemaliza. Au huna geto
 
Huyo demu achana nae Fanya maisha yko mkuu,
Huwa hatulazimishi mambo kabisa tukimtaka mdada akikata tunaridhika na tunaendelea na maisha yetu ,tatizo mwanamke akiona umeridhika na unaendelea na mambo yako anakukasikia tena zaidi (infact we are dealing with something else inside girl's brain what we don't know)
 
Mwa
Huyo demu achana nae Fanya maisha yko mkuu,
Mkuuu huwa hatulazimishi mambo kabisa tukimtaka mdada akikata tunaridhika na tunaendelea na maisha yetu tatizo mwanamke akiona umeridhika na unaendelea na mambo yako anakukasikia tena ndo anakuchukia kabisa (In fact we are dealing with something else inside girl's brain what we don't know)
 
Wanawake wagomvi typing………..
Walimu wa kiswahili typing…………..
Tafuta pesa typing…………..
Achana naye usimbembeleze typing……….
Kataa ndoa typing ...........
 
Mzee,
Kwani si tulikubaliana?😁😁 hata hivyo nalipiza tu ulishawahi nifanyia unyama 😁😁😁
Wewe ni mshirika wangu katika uharibifu lakini salama😂😂
 
Tusifanyiane hivyo darling, utanimaliza😭😭
Umekanyaga katiba,mi nilijua umezeeka kumbe Mzee wa hovyo...ngoja kwanza nione kama ex bado kakaza,si unajua Kuna moyo wangu niliuacha kwake🤦
 
Umekanyaga katiba,mi nilijua umezeeka kumbe Mzee wa hovyo...ngoja kwanza nione kama ex bado kakaza,si unajua Kuna moyo wangu niliuacha kwake🤦
Tusifanyiane hivi dear sweetheart 😭
 
Back
Top Bottom