Hivi wanawake kuwakataa wanaume kiugomvi wanapotongozwa ni Afrika tu au ni janga la kidunia?

Mzee,
Kwani si tulikubaliana?😁😁 hata hivyo nalipiza tu ulishawahi nifanyia unyama 😁😁😁
Aaaah Sasa Bora nipambanie Huba langu atanisamehe niendelee nae,kumbe unataka kulipiza tu😏😏😏
 
Wanawake wagomvi typing………..
Walimu wa kiswahili typing…………..
Tafuta pesa typing…………..
Achana naye usimbembeleze typing……….
Yuda Eskariot hujambo🕵️🕵️🕵️
 
Wakal wa hiz kaz hatutongozag... Huhitaj kumwambia mwanamke maneno meng.
Ukishazoeana na mwanamke. Kitendo cha kupata muda nae kuchat. Dinner.. dates... Bas kwisha.. mkaribishe home akikubal mara mbili tatu bas umemaliza. Au huna geto
 
Huyo demu achana nae Fanya maisha yko mkuu,
Huwa hatulazimishi mambo kabisa tukimtaka mdada akikata tunaridhika na tunaendelea na maisha yetu ,tatizo mwanamke akiona umeridhika na unaendelea na mambo yako anakukasikia tena zaidi (infact we are dealing with something else inside girl's brain what we don't know)
 
Mwa
Huyo demu achana nae Fanya maisha yko mkuu,
Mkuuu huwa hatulazimishi mambo kabisa tukimtaka mdada akikata tunaridhika na tunaendelea na maisha yetu tatizo mwanamke akiona umeridhika na unaendelea na mambo yako anakukasikia tena ndo anakuchukia kabisa (In fact we are dealing with something else inside girl's brain what we don't know)
 
Wanawake wagomvi typing………..
Walimu wa kiswahili typing…………..
Tafuta pesa typing…………..
Achana naye usimbembeleze typing……….
Kataa ndoa typing ...........
 
Mzee,
Kwani si tulikubaliana?😁😁 hata hivyo nalipiza tu ulishawahi nifanyia unyama 😁😁😁
Wewe ni mshirika wangu katika uharibifu lakini salama😂😂
 
Tusifanyiane hivyo darling, utanimaliza😭😭
Umekanyaga katiba,mi nilijua umezeeka kumbe Mzee wa hovyo...ngoja kwanza nione kama ex bado kakaza,si unajua Kuna moyo wangu niliuacha kwake🤦
 
Umekanyaga katiba,mi nilijua umezeeka kumbe Mzee wa hovyo...ngoja kwanza nione kama ex bado kakaza,si unajua Kuna moyo wangu niliuacha kwake🤦
Tusifanyiane hivi dear sweetheart 😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…