Duh yani inafikirisha sana mke na mme eti mnakopeshana ela aisee ndoa hizi za kizazi hiki zina shida sana yan eti mke anamkopesha pesa mme wake eti arudishe badae kwakwel ni shida sanaWengi hapo kwenye kutoa ndio mtihani yupo radhi akukopeshe!
Sisi ni kama yameshakuwa maisha yetu ya kawaida kwa miaka nenda rudi (more than ten years huko) ikifika mwisho wa mwezi wote tunaeka hela mezani kisha tunapanga matumizi.Vp wewe Shadeeya unakubaliana na 50/50?
One in a millionSisi ni kama yameshakuwa maisha yetu ya kawaida kwa miaka nenda rudi (more than ten years huko) ikifika mwisho wa mwezi wote tunaeka hela mezani kisha tunapanga matumizi.
Maisha yanaenda vizuri kabisa na hii imesaidia tumefanya mengi pia.
Hata kwa Me pia ni one in a million ambao wanaeza eka Salary mezani kisha akakaa na mkewe na kuanza kupanga hiki kifanyike na hiki kisubiri.One in a million
Wanaume 90% wanakaa mezani na wenza wao ila wanawake ndio huwa hamtaki 99% hamtaki kabisaaa!Hata kwa Me pia ni one in a million ambao wanaeza eka Salary mezani kisha akakaa na mkewe na kuanza kupanga hiki kifanyike na hiki kisubiri.
Aisee....kweli wacha tuu tuwe na michepuko
Wengi wanamalizia kuchangia vitu vya ajabu ajabu kama birthdays na hapo bado zawadi,kununua nguo bei kubwa, showoffs za kijinga,vijisherehe visivyoeleweka
Hamna lolote ubinafsi tuu. Sasa kwani mie nikienda kuspend na mchepuko na yeye nyumbani ana hudumiwa kila kitu inamuuma nini? Kwani mchepuko anaondoka na utamu wa de libolo? Uchoyo tuu umewajaaNa ndio sababu mojawapo ambayo wake wengine wanayo on their minds kwamba wasiopowakamua hela mpaka tone la mwisho hela mtaenda kuzimaliza kwa michepuko,
Kwa hiyo wanaona afadhali wakakamue mtimize majukumu ya familia ili kama ikibidi michepuko mkawale bure kama watawaelewa.
Wengi wanamalizia kuchangia vitu vya ajabu ajabu kama birthdays na hapo bado zawadi,kununua nguo bei kubwa, showoffs za kijinga,vijisherehe visivyoeleweka
Wanawake sie ni wabinafsi sana... Kupata mwanamke mwenye utu na utulivu ni Kazi sana
Numbi, wewe si ni mwanamke, kweli unawaponda wanawake wenzio kiasi hicho?
Unaonekana ni ka wife material, ungekuwa hujaolewa ningeanza kukumendea.Adui wa mwanamke daima ni mwanamke mwenzie😂😂😂😂😂ila kwenye ukweli tuseme tu.
Bora angechuna tu, maana ukweli unauma.Sasa Penye ukweli asiseme ukweli?!
Kabisa!!! [emoji1787][emoji23][emoji23]!! na kuna hiiWatasema tuwapumzishe[emoji28][emoji23] mada zimekuwa nyng sana.
Sio sahihi
Kutompenda mume kunachangia
Ukimpenda mwenzio unavyokuwa na kiherehere
Unaweza sema kbs leo nmevunja kikoba na nna sh xx
Duh!!Kuna jamaa yangu ni mtumishi na mkewe pia ni mtumishi. Jamaa analipwa 900k na mkewe analipwa 1.3m ila sasa kodi ya nyumba, bili za umeme na maji analipa mwanaume, na bado ujenzi wa nyumba ni mwanaume apambane, ada ya shule ni mwanaume.
Hivi majuzi imebidi mwanaume amlipie vikoba mwanamke maana alikuwa anadaiwa na watu washatimba home kubeba vyao. Chanzo cha ugomvi kikaanza baada ya jamaa kumnyima mwanamke hela ya saloon kwa kuhoji wewe hela zako unapelekaga wapi?
Navyozungumza kesi ipo dawatini na ndoa ina ning'inia. Wanawake mmezidi badilikeni jueni saivi maisha ni 50/50 sio kuwa mzigo kama panya nyumbani huna faida kazi kuharibu tuu!
Hamna lolote ubinafsi tuu. Sasa kwani mie nikienda kuspend na mchepuko na yeye nyumbani ana hudumiwa kila kitu inamuuma nini? Kwani mchepuko anaondoka na utamu wa de libolo? Uchoyo tuu umewajaa
Sasa hii point gani unaongea na wewe. Huyo mke mwenyewe simli bure. Mpaka nimefanikiwa kumuweka ndani nimelipa mahari na nisipo muhidumia mbususu sipewi.Mchepuko waleni bure kama wana wapenda kiukweli vinginevyo ni wizi mtupu!
Sasa hii point gani unaongea na wewe. Huyo mke mwenyewe simli bure. Mpaka nimefanikiwa kumuweka ndani nimelipa mahari na nisipo muhidumia mbususu sipewi.
Hamna mwanamke anayependa bwana. Wanawake wanaangalia wapi penye unafuu wa maisha. Wanawake waacha uchoyo, kama wee unahudumiwa kwa nini usitake na mwanamke mwenzio ahudumiwi pia