Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!




Ni kama ambavyo na nyie huwa mnapigwa
Mizinga na michepuko huko nje au siyo [emoji38][emoji38]

Ngoma droo hiyo!
 
Usijifanye nunda kama mkeo anafanya kazi na anakuzidi kipato. Mnatoka wote asubuhi mnarudi jioni wote alafu pesa zake ni kwa ajili ya kitchen part? Na wewe mwanaume unakenua meno eti nahudumia kila kitu ili nisipoteze sauti
 
Mnawatoaga wapi wanawake wenu?[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tatizo la kuoa ili mradi ndio hili,badala ya kuoa mwanamke
Siku hizi wanaolewa wasomi wenye kazi au kipato ili wasaidiane maisha, sasa wengine ambao hawajabahatika kusoma saaana ndiyo tunaangukia hawa wasiojua umuhimu wa mke, dunia hii haiko fair kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ni heri ukosee kujenga ila usiombe kukosea kuoa/kuolewa, utajuta maisha yako yote. Kwa kifupi jamaa yako alikosea kuoa na hayo ndio matunda ya makosa yake.
Tusilaumu sana wanawake wakati mwingine wanaume huanza wao wenyewe, nilishuhudia ugomvi nikawa jaji kwa muda, Mme na mke wote wafanyakazi na kazi zao ni sawa, ila Mme anapambana sana, ila sasa pesa nyingi inaishia kusaidia ndugu zake, Dada zake wanafyatua tu huko matumizi kwa kaka, sasa kaka naye matumizi yanakuwa makubwa anataka na pesa ya mkewe nayo ifanye kazi hiyo, mkewe alipogoma ugomvi mkubwa ukazuka .
 
Adui wa mwanamke daima ni mwanamke mwenzie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila kwenye ukweli tuseme tu.
Hapo umesema kweli, kuna mmoja alikuwa anamwambia kaka atafute mke mwingine, sasa matokeo yake nayeye kaenda kuchepuka Mme kajua kamfurusha kwao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…