Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

To yeye ndo kabisaaa hakunaga mwalimu anasema ana hela!
🤣🤣🤣🤣 Ila sii nasikia kwenye kikao nilicho kosa kuwa hawa walimu ndio wazuri kwa kuwaoa na wanajua kulea familia
 
Nimepitwa
Mwanamke wa kitanzania yupo radhi akukopeshe hela yake kwa matumizi ya familia
Hapo na yeye anakula au anatumia
Kwanza wanaamini kuhudumiwa ndio kupendwa

Umaskini ndio unawafanya waone kupewa pesa au huduma ndio kupendwa

Ladies sisi wanaume kuna hela huwa tunaweka kwa ajili ya kuwatafuna tu
 
Ifikie hatua mjilaumu kwa kuweka misingi mibovu kuanzia chini.

Na ikibidi humo majumbani kwenu muache kujifanya kila kitu munakiweza bila msaada wa mwanamke kwani hayo ndio madhara na mwishowe matokeo ndo haya munaanza kulalamika.
 
Wanapeleka kanisani kwa wachungaji.

Na utakuta hadi beki taru analipwa na mwanaume ilhali majukumu anayofanya ni wajibu wa mwanamke.

Bora aache kazi tu awe Mama wa nyumbani kama pesa zake hazionekani.
 
Ifikie hatua mjilaumu kwa kuweka misingi mibovu kuanzia chini.

Na ikibidi humo majumbani kwenu muache kujifanya kila kitu munakiweza bila msaada wa mwanamke kwani hayo ndio madhara na mwishowe matokeo ndo haya munaanza kulalamika.
Vp wewe Shadeeya unakubaliana na 50/50?
 
Siku moja nipo site napiga mishe sasa nilikuwa kweny ICD fulani nakagua container bahati mbaya simu yangu kali Samsung S9 plus ilidondoka jamaa wa forklift hajaiona akakanyanga ila aliniomba excuse sana mpaka nikaona poa kwa kweli haifai kabisa nikatoa line kibaha kariakoo nikachukua kiswadu cha bontel elfu 20 fasta niwasiliane na mteja
Ungemwambia pesa akachukue kwa wazazi wake, mimi ningemjibu shit asingeamini huwa sipendi ujinga
 
Wanawake ni wabinafsi, wanaishi nasi kwa mfumo wa CHANGU changu na CHAKO changu.

Pesa yake ni kwaajili ya kusaidia ndugu na jamaa zake tu ili wampongeze na kumsifu tu. Huku mwanaume ukipigika kuendesha familia.

Ndio maana sikuhizi wanawake wanamiliki pesa ndefu kuliko wanaume. Kwasababu pesa zao wanazihifadhi wakati za mwanaume zinatumika kwenye familia.
Yani wanawake wabinafsi vibaya Sana ila wenye kumpata ambaye anasaidia home wamebahati Sana
 
Back
Top Bottom