Hivi wanawake wa siku hizi wanajali kuhusu show kali au cha muhimu hela tu?

Hivi wanawake wa siku hizi wanajali kuhusu show kali au cha muhimu hela tu?

SimbaMpole123

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2023
Posts
5,501
Reaction score
4,956
Jamani, nimeona siku hizi kuna wimbi kubwa la wanawake kutoka na wababa na kuwa na mahusiano kwa ajili ya hela tu na mpaka unakuta mdada slay Ila chumbani hana kitu cha maana anachofanya.

Inaonekana mademu hawa hawana experience ya show kali coz wanatiwa na kulipwa ka malaya na vibabu so hawana mtu wa kuwapa mahaba niue.

Je, wanawake siku hizi wanajali kuridhishana kimapenzi au cha msingi wanapata malipo baada ya BAO moja la dakika tano waende kujirusha nazo?
 
Cha msingi fedha...

Show kali ataisimamia mwenyewe.....
Hahaha so hata ukipigwa BAO moja dakika moja ukawa unapewa laki kila siku freshi tu...hujali kwamba mwili wako hauna experience ya kuridhika...huogopi kwamba ukiingia kwenye ndoa utakuwa gogo na mme wako atakuwa mbaba kwa watoto wengine coz we huwezi mpa vikali
 
Show kali ipigie nyeto, jikunje utakavyo ukiwa unanyonga, mademu siku hizi wanataka ngawira tu.

We nenda upige tako mbili kojo hilo, as long as unatoa mtonyo wa maana utapewa kila sifa za urijali.

Akitaka show kali ananunua dude la bandia anamwita shosti wake wanakokomezana mpaka hamu ziwaishe.
 
Uzuri wanawake wanasemaga hivi na kuishia kukataa wanaume ambao hawana magari
Ukikataliwa hujapendwa. Uwe na gari au hauna, upendo ni kitu cha tofauti sana. Ukipata mtu amekupenda kwa sababubya Toyota yako Alphard, basi jua hajakuoenda kalipenda gari lako. Akimpata mwenye Beemer jua ndio umeachwa hivyo
 
Back
Top Bottom