Hivi wanawake wa siku hizi wanajali kuhusu show kali au cha muhimu hela tu?

Hivi wanawake wa siku hizi wanajali kuhusu show kali au cha muhimu hela tu?

Ukikataliwa hujapendwa. Uwe na gari au hauna, upendo ni kitu cha tofauti sana. Ukipata mtu amekupenda kwa sababubya Toyota yako Alphard, basi jua hajakuoenda kalipenda gari lako. Akimpata mwenye Beemer jua ndio umeachwa hivyo
So we unampenda mwenye nini
 
Jamani, nimeona siku hizi Kuna wimbi kubwa la wanawake kutoka na wababa na kuwa na mahusiano kwa ajili ya hela tu na mpaka unakuta mdada slay Ila chumbani Hana kitu Cha maana anachofanya.
Inaonekana mademu Hawa hawana experience ya show Kali coz wanatiwa na kulipwa ka Malaya na vibabu so hawana mtu wa kuwapa mahaba niue.
Je wanawake siku hizi wanajali kuridhishana kimapenzi au Cha msingi wanapata malipo baada ya BAO moja la dakika tano waende kujirusha nazo
Huwa wanamwanaume wa show Kali mwanaume wa kuchunwa na mwanaume wa kuuzia nae sura
 
Back
Top Bottom