SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Hahaha true love ndo ipiPersonally nahitaji tu true love. Vingine vyote nawaachia wengine
Good point ila naongelea majoritywapo wanaojali hela, wapo wanaojali show, wapo wanaojali vyote, wapo wasiojali chochote hapo...
Upendo wa Agape. Mpende mtu jinsi alivyo. Je mtu asipokuwa na hela anapoteza haki ya kupendwa?Hahaha true love ndo ipi
Hahaha so hata ukipigwa BAO moja dakika moja ukawa unapewa laki kila siku freshi tu...hujali kwamba mwili wako hauna experience ya kuridhika...huogopi kwamba ukiingia kwenye ndoa utakuwa gogo na mme wako atakuwa mbaba kwa watoto wengine coz we huwezi mpa vikaliCha msingi fedha...
Show kali ataisimamia mwenyewe.....
Uzuri wanawake wanasemaga hivi na kuishia kukataa wanaume ambao hawana magariUpendo wa Agape. Mpende mtu jinsi alivyo. Je mtu asipokuwa na hela anapoteza haki ya kupendwa?
KweliShow kali ipigie nyeto, jikunje utakavyo ukiwa unanyonga, mademu siku hizi wanataka ngawira tu.
We nenda upige tako mbili kojo hilo, as long as unatoa mtonyo wa maana utapewa kila sifa za urijali.
No money utapendwa na mama yako mzazi tuUpendo wa Agape. Mpende mtu jinsi alivyo. Je mtu asipokuwa na hela anapoteza haki ya kupendwa?
Personally nahitaji tu true love. Vingine vyote nawaachia wengine
Love is not a serviceNikuhudumie?
Wewe wasemaNo money utapendwa na mama yako mzazi tu
Bila pesa haiwezekaniWewe wasema
acha mkuu mawazo kama haya yatakupa sononaGood point ila naongelea majority
Ukikataliwa hujapendwa. Uwe na gari au hauna, upendo ni kitu cha tofauti sana. Ukipata mtu amekupenda kwa sababubya Toyota yako Alphard, basi jua hajakuoenda kalipenda gari lako. Akimpata mwenye Beemer jua ndio umeachwa hivyoUzuri wanawake wanasemaga hivi na kuishia kukataa wanaume ambao hawana magari