Hivi wapenzi kama hawa tuwafanyaje

Ila siku hizi too much ,ukiomba namba tuuu picha linaanza "sina bundle .....",unamtumia 2000 utamsikia "mimi kwa siku na jiunga naa bundle la elfu 5........",sasa kama kwa siku unajiunga bundle la ekfu 5 why mpaka mda huu ulishindwa kujiunga na hilo bundle au hata la buku.

Haya hujakaa vizuri hajala,mara na daiwa kodi, enheeeee simu yangu kioo kimvunjika, TV yangu ya Chogo nataka flat screen, mara nywele zangu chafu ,kucha zina hitaji marekebisho mara eheee wiki ijayo kuna sherehe nguo sina wala viatu. Hujakaa vizuri unasikia wiki hii nadaiwa hela ya vikoba,hujakaa sawa sijatoa hela ya mchezo siku tatu.

Mpaka unamtizama na kujiuiza hivi huyu kabla ya kuonana na mimi alikuwa anaishije?.

Kama ulikuwa unategemea ktk vision zako atakuwa wife wako,unaachana nazo unaandaa mpango mkakati wa kumla na kumpiga chini.
 
Pokea simu yake, itika salam yake. Kisha usiongee chochote msikilize anachoongea mpaka amalize bila kumkatiza wala kumgombeza. Baada ya hapo ya hapo mwambie anajua unachohitaji ni Ppch. Mwambie hakuna neno zaidi ya yeye kukuletea kwa gharama zake. Mengine yatafuata baada ya hapo.

Akileta ukatumia, maliza na umpige chini hakufai. Asipokuja napo safi mmemaliza gemu
 
Hawa warembo wameshatufanya atm machine. Itabidi tuu tuhamie moja kwa moja kwa malaya.
Kutokana na hawa madem kuwa omba omba hadi kero nimeanza kuipenda show time na nimeanza kuizoea,naingia bar yenye madem wengi nachek kifaa nitakacho kipenda nachukua naenda kusugua kwa buku 5 tu

Nilijaribu vibinti vidogo navyo ni shida tu na vyenyewe siku hz vinataka hela kubwa,yaan ndan ya mwez unakuja kukuta kamekula 80,000 wakati hata kukata viuno hakajui
 
Sawa bwana aliyeshiba hamnui mwenye njaaa, ulishapelekewa moto na jamaa yako, so mwepesiiii unachapa tuu keyboard.
Mambo vipi lakini
🤣

Mambo poa sana, za j2??
 
Nilichojifunza ni kuwa ukitumia akili nyingi kumpata mwanamke humpati....kuwa wa hovyohovyo flani hivi ...ongea maneno ya ajabuajabu kama yale ya dogo langu mzabzab utawapata wengi sana.
Mweee....huwapati ng'ooo labda hayo maneno yaambatane na muamala🤣🤣🤣🤣
Uzuri wa hawa warembo ukiwa na hela ata kama ni andunje wanakukubalia tuuu au nasema uwongo Kelsea? 🤣🤣🤣
 
Yani mpaka mtu ANAKULA tuuu pesa Yako,UNAMACHO,NA MDOMO NA HAUSEMI ,ameshakuona wewe kitega uchumi CHAKE KO TULIA TU,......
 
Achana hiyo chuma ulete.
Siku hizi wanajimilikisha tu ni kutaka pesa bila mpango
 
Shida iko kwako,unatoaje hela kizembe hivyo? Alafu ww kama Mwanaume unatakiwa uwe na options,kwani K anayo yeye tu uyo? Hakuna wanawake wengine? Sio lazima ukitoa hela upewe game,jifunze kusepa ukiona demu kama unambembeleza sana.

Sie tukiwaambia mnakua wabishi haya kampige hizo shaba zako sasa
 
.kuwa mpole na mtamu wa maneno ataingia king tu
Unamdanganya.
Kuna wanawaje wameamua kuwa matapwli...sio wote lakini 80% matapeli kwa njia ya hako katundu.

Mkianza kuwasiliana tu haja hujamtamkia kumtaka tayari kila dakika mara vocha, sijui kusuka, kodi sijui mama mgonjwa, gas nk.
Hee yaani hawanaga aibu wala hawajui timing.

Ukiona dalili hizo kabla hata ya uhusiano lichunie tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…