Hivi wapenzi kama hawa tuwafanyaje

Umetuma ka-laki na bado unauliza chenchi, kwenye Maisha kubali mapenzi kwa asilimia kubwa ni hela usiwalaumu wanawake Bali blame game
 
Mwanamke ambaye hajakukubali lazima akupige vizinga vya kufa mtu
 
Bora kwenda jela ili uwe mfano kwa wengine unakulaje hela ya mwanaume na unajua huna cha kumlipa huyu nimemsamehe sana kumvunja miguu
Alafu inaonekana wewe ni mgeni kwenye mapenzi vitu vya kawaida kwa malegend
 
Mweee....huwapati ng'ooo labda hayo maneno yaambatane na muamala🀣🀣🀣🀣
Uzuri wa hawa warembo ukiwa na hela ata kama ni andunje wanakukubalia tuuu au nasema uwongo Kelsea? 🀣🀣🀣
Mimi sijui 😎
 
Me mwanamke akili 50k tu nikimpanga akileta story sijui namuona malayaa ndo imeisha hiyoo...!! Akitaka helaa aje kuifataaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna single maza nilimchana akanunaa baada ya week ananitafuta eti kakwama elfu 20 nkamwambia mimi mbona nikikwama hujali ila wew ukikwama unataka mimi nikasaidie..!! Alijitumisha msg weee mpaka akachokaa...
 
Bila shaka huyo atakuwa kalynda
 
Watu mna hela za kuchezea khaaa yani unatoaje hela kiasi hicho?? Mwezi mzima hamjaonana hujaomba hata date? Doo okay.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…