Hapo ni kujitesa tu akisema tu "sawa waungwana nitafania kazi" ndo kiswahili sahihi, hiyo sawasawa hapo inatuleta kwenye hii alama "="je akikwambia ....
"sawasawa waungwana nitafanya kazi!!" je hailet maana??
Fikiria Anaongea na nani kwanza mswahili Au mwingereza asiyejua??
Ok!! na neno sawa ni sawa kwa kiswahili tu! Km unaongea na mswahili mbona wagumu kuelewa nyie watu??
You're responsible for the absence unless otherwise you were seriously sick..grammatically kuna tofauti?Unless...otherwise inaeleweka japo sio sahihi kutumia haya maneno kwa mfuatano!
Lazma kuwe na maneno katikati yake ndio imake sense.
Mfano: Unless you were seriously sick, otherwise you would be responsible for the absence!
Kimsingi mi nacharazaga tu kiingereza kinapogoma goma ku click najua hapa nimetoa boko! Mambo ya grammar hata sielewagiYou're responsible for the absence unless otherwise you were seriously sick..grammatically kuna tofauti?
Sent from my SM-A507FN using JamiiForums mobile app
Hukuwa ukifahamu na wala sio hukuona sababu, kuonesha ni jinsi gani hukuwa ukifahamu just refer kwa tafsiri zako za maana ya maneno hayo huko juu.Kama upo Tanzania wala huhitaji mtu atolee mfano maana karibia kila mtu anaongea hivyo, so assumption ni kwamba this is very common sikuona sababu ya kutolea mfano.
Sawa mkuu. Ila nadhani na wewe ni wale wale wa unless otherwise kila sehemu maana sio kwa kushupaa huko.Hukuwa ukifahamu na wala sio hukuona sababu, kuonesha ni jinsi gani hukuwa ukifahamu just refer kwa tafsiri zako za maana ya maneno hayo huko juu.
Sent from my SM-A507FN using JamiiForums mobile app
Hehe..mtu hujui hata kuandika, punctuation inakushinda afu wazijua lugha, safari bado ndefu.Hakuna unachokinua, wewe ni uzao uleule wa wazungumzaji wabovu wa Lugha. Asante..siwezi kuendelea kulumbana na wewe. Nyie ndio badala ya "alikwenda" mnasema "alikwendaga" na mnadhani ni sahihi kuongeza "ga" "ge" na "gi" ni sahihi.
Kwa heri, hunitoshi kwenye uwanja wa Lugha!
uongo hujui fasihiHapo ni kujitesa tu akisema tu "sawa waungwana nitafania kazi" ndo kiswahili sahihi, hiyo sawasawa hapo inatuleta kwenye hii alama "="
Sasa chukulia niseme "= waungwana nitafanyia kazi" unaona inakuja kweli?
Hilo neno "sawasawa" halitakiwi kutumika kwenye sentensi kama hiyo.
Hatulazimishi ila tunahitajiana.Duh, kwa nini tunalazimisha lugha za watu wengine?
Maana yake sasa:Not always, unless otherwise we want to emphasizing on a point.
Basi kama ukitaka kutumia lugha za wengine usiziharibu. Kilaza ni kilaza tuHatulazimishi ila tunahitajiana.
sisi Waswahili siyo kisiwa!!!! lkn pia km huoni kuna haja ya kujua acha wewe na familia yako mbona mpo wengi tu kijijini huko hutakuwa peke yako. Kajiunge tu...
Kila la heri
Nina marafiki zangu wanyakyusa wanapozungumza wanapenda kusema "ila isipokuwa" kwa wakati mmoja. Sielewi kwa nini.Ni mfano mwingine watu wanapenda kuonge hivyo
Unakuta mtu anakuambia "Ok sawa" haileti maana yan
Huwa sipotezi muda kulumbana na watu mitandaoni. Hunijui sikujui. Endelea kupigika na njaa zako.Hehe..mtu hujui hata kuandika, punctuation inakushinda afu wazijua lugha, safari bado ndefu.
Sent from my SM-A507FN using JamiiForums mobile app
Maana yake ni kwamba kutojua Lugha moja kwa ufasaha pia ni sababu ya mtu kuchanganya Lugha anapozungumzaKwa hiyo!? 🤔🤔🤔
Au utaona wanatumia neno "Yes Of course" wakati hayapaswi kutumika kwa pamoja. Unaweza kutumia yes au ofcourse .Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja? Ina maana huko shuleni ndivyo walivyofundishwa hivi? Haya maneno yana maana sawa, kwa kiingereza yanaitwa "synonyms", unatakiwa kutumia neno mojawapo tu na sio yote kwa wakati mmoja.
Hujui kiingereza wewe. Tumia muda kujifunza kama unataka kuelewaWewe ndio hujui. Unless otherwise... ni phrase sahihi ya kimombo
How to use "unless otherwise" in a sentence
Find sentences with the word 'unless otherwise' at wordhippo.com!www.wordhippo.com
What does “unless otherwise” mean?
Answer (1 of 3): The term “unless otherwise” is used to describe a default condition or action in terms of no objections or suggestions being made. For example, in the sentence “I will see you at 5 PM tomorrow at Starbucks near my office, unless you suggest otherwise.”, I am suggesting my friend...www.quora.com
Ila kama ndio LY naweza elewa kwa sababu ni advanced phrase.