Hivi Watanzania kwa nini huwa wanatumia haya maneno mawili kwa wakati mmoja? "Unless otherwise"

Hivi Watanzania kwa nini huwa wanatumia haya maneno mawili kwa wakati mmoja? "Unless otherwise"

‘Unless’ na ‘otherwise’ yanatumika pamoja, ila si katika mifano uliyotoa. ‘You are all required to wear your uniforms, unless otherwise instructed’. Acha kuwa kama kenge kwa ujuaji maandazi, boya wewe
 
Sasa wabongo ndio wanaitumia katika mifano niliyotoa. ...by the way mbona wewe ndio unaonekana kenge hapa maana nimekutolea hadi mifano in what context wabongo wanaboronga lakini bado huelewi.
 
Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja? Ina maana huko shuleni ndivyo walivyofundishwa hivi? Haya maneno yana maana sawa, kwa kiingereza yanaitwa "synonyms", unatakiwa kutumia neno mojawapo tu na sio yote kwa wakati mmoja.

For instance:
“Give me your laptop otherwise I will reveal your dirty secret”
“Give me your laptop unless otherwise I will reveal your dirty secret”

Unless you bring my laptop I will not give you back your book”
Unless otherwise you bring my laptop I will not give you back your book”

Nimeona nipandishe hii mifano ili nieleweke zaidi maana kuna watu humu wanatetea vitu viko wazi kabisa.
Inawezekana labda hujui Kiingereza vizuri mkuu? Usiwalaumu wenzako labda tatizo ni wewe ndiye hujui matumizi ya hayo maneno mawili kwa wakati mmoja!

The phrase "unless otherwise" is usually used in giving instructions to make them more clear. You may smoke unless otherwise instructed. Unless otherwise instructed, please remain seated. Unless you are told otherwise, you may take photographs.
 
Kwa tafsiri isiyo rasmi "Unless maana yake isipokuwa/la sivyo. Otherwise maana yake isipokuwa/la sivyo". Hivyo chagua neno mojawapo tu uteleze, utaelewaka zaidi badala ya kulazimisha kuyatumia yote kwa wakati mmoja.
Hii ndiyo shida ya wengi, kutafsiri Kiingereza kwa vipande vipande kama ulivyofanya!
 
Hii ndiyo shida ya wengi, kutafsiri Kiingereza kwa vipande vipande kama ulivyofanya!
Inawezekana labda hujui Kiingereza vizuri mkuu? Usiwalaumu wenzako labda tatizo ni wewe ndiye hujui matumizi ya hayo maneno mawili kwa wakati mmoja!

The phrase "unless otherwise" is usually used in giving instructions to make them more clear. You may smoke unless otherwise instructed. Unless otherwise instructed, please remain seated. Unless you are told otherwise, you may take photographs.
Mkuu hata wewe umekuwa mgumu hivi kuelewa pamoja na hiyo mifano niliyotoa? Nadhani wewe ndio una shida ya kiingreza. Context uliyoitumia ipo sahihi kwa hayo maneno kuyatumia kwa kufuatana shida wabongo hawatumii kwenye context sahihi wao wanajua tu kusema unless otherwise popote pale angalia hata kwenye comments zao utaona hicho kitu unless na wewe kiingereza huki-feel kihivyo. Halafu acha kugoogle ndio ulete utetezi wako hapa maana karibia kila mtu anayebisha emeyaleta haya majibu uliyoyaleta wewe kitu ambacho kinaonyesha wote mnaenda google na kucopy na kupaste. Kwa kumalizia kuna ile to feel the language before you even speak it and I guess this is the reason why people do not know the correct use of these two words.
 
Ndiyo maana wanakwambia ungefanya kwanza research kuona hayo maneno yanatumikaje. Hoja yako wewe ulitaka kuonesha kwamba hayo maneno hayatumiki pamoja. Ndiyo maana hata mimi nikawaambia labda kama hujui Kiingereza! Wanaoyatumia kwenye hizo sentensi zako za mfano hawajui Kiingereza kwa hiyo hupaswi kuwalaumu!!
 
Sio kwamba watu hawajui...ni mazoea..cha msingi msikilizaji anaelewa nn kinamaanishwa...mbona tunachapia maneno mengi ktk kiswahili....mfano NILIMKUTA HAYUPO..!!

Kingereza chenyewe kina kanuni ya kwamba hasi na hasi haziendan

Mfano huwez kusema I DON'T HAVE NOTHING...unatakiwa useme I DON'T HAVE ANYTHING..sasa angalia ni wazungu wangapi wanakosea....cha msingi ni msikilizaji ameelewa au la!!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
au useme i have nothing
 
Ndiyo maana wanakwambia ungefanya kwanza research kuona hayo maneno yanatumikaje. Hoja yako wewe ulitaka kuonesha kwamba hayo maneno hayatumiki pamoja. Ndiyo maana hata mimi nikawaambia labda kama hujui Kiingereza! Wanaoyatumia kwenye hizo sentensi zako za mfano hawajui Kiingereza kwa hiyo hupaswi kuwalaumu!!
Sawa mkuu nadhani kwa mbali umenielewa. Hili ni tatizo la watanzania wengi mno hivyo sikuona sababu ya kuelezea in details nikiamini kwamba kila mtu anayeishi Tanzania na anayejua kiingereza analijua. Na kwa nyongeza tu huwa unawasikia watanzania wanavyotamka maneno haya "schedule na assume?" Schedule wanaitamka "shejo au shedo" assume wanaitamka "ashumu" hii inaonyesha ni jinsi gani huko shuleni wanafundishwa maana haiwezi kutokea kwa bahati mbaya tu kila mtu akawa anaongea kiingereza cha hivi.
 
Mimi niliona hayo maneno kwenye mitihani ya NECTA, "unless otherwise stated".

Unless otherwise is global laughing stock😆
 
Ni kwamba unajifanya hujui kwamba English haitupendi waTz ama unajua? English haijawahi kutukubali...tunapoanza kuizungumza yenyewe hukaa pembeni na kututazama kwa jicho la kejeli
 
Back
Top Bottom