Then taarifa zake za public ni za uwongo?! Kwenye taarifa hizo zinasema ana wakiume 3, na wakike 1Wewe ndio umechanganya madesa.
Samia ana watoto wa nne.
Abdul ndio wa kiume pekee, wengine wa kike.
Mmoja yupo marekani sio maneno yangu ya mama yake mwenyewe, hadharani.
Watatu Wanu
Wa mwisho mdogo tafuta misa ya kumbukumbu ya Magufuli Chato mwaka juzi utamuona (alifanya interview fupi akasema katumwa na mama yake kumuwakilisha). Huyo kitenda mimba ukimuona early 20’s au late teens (mtoto hata kwa sura kipindi hiko).
Sio kwa vagi la Samia, wa kikwete wanajulikana wote, Mkapa hata wa nyerere.... kwa Samia tumemjua Abdul sababu ni mpumbavu! Anyhu muhimu kujua, na na shughuli zao ili tujue kama wanaingia kwenye Novena au vipi😂😂Ni kawaida kila familia ina low key members
Kwani watoto wa magufuli unawajua wote?
Watoto wa kikwete je?
Mkapa?
Mwinyi?
Nyerere?
Wa Samia yupo marekani kasema mwenyewe mtoto wake ni diaspora. Wa Jakaya ndio yupo uingereza na yeye kurudi pia no.Nafikiri ni Uingereza na sio Marekani. Yes ni wa kike.
Kwani Lissu ni Rais wa JMT?😂😂 Tuliza mshono nesi kama huna jibuShida sana yaani sisi binadamu. Inasikitisha zaidi kuona anayefanya uchawi huu ni mrembo. Kwani watoto wa mkombozi wenu (🤣🤣🤣) lissu mnawajua wote tayari Hadi muanze kumfuatilia Samia?!!!!
Somtym swali linazaa swali, sasa kama abdul ni wa nje, baba anaweza akawa nani? Baba sio rimote controler kweli?Ana watoto wa4 Kwa mumewe Hafidh ameir Mume anaetambulika kiserikali....
Wanu hafidh Ameir
Nuhu hafidh ameir
Mariam hafidh ameir
Mwanu hafidh ameir-kitinda mimba
Huyu mwingine Mnaemjua sana mitandaoni...nisiongee sana! Ila ni wa MAMA....Kama una akili umeshaelewa!
View attachment 3469187
Wa JK aliye uingereza atakua Miraji.Wa Samia yupo marekani kasema mwenyewe mtoto wake ni diaspora. Wa Jakaya ndio yupo uingereza na yeye kurudi pia no.
Yupo mmoja wa kike, karma ilimtandika JK.Wa JK aliye uingereza atakua Miraji.
Si ndiyo Raisi wenu huyo, au?!! 🤣🤣🤣🤣🤣Kwani Lissu ni Rais wa JMT?😂😂 Tuliza mshono nesi kama huna jibu
Pascal anaogopa kuonekana anatumia vpn atakosa teuzi 🤣.
miraji yupo bongo ..nilikutana naye mikocheni kuna bar ilikuwa na jina kubwa....Wa JK aliye uingereza atakua Miraji.