Hivi watoto wawili wengine wa Rais Samia ni kina nani na wanafanya shughuli gani? Hawahusiki kwenye mambo haramu?

Si ndiyo Raisi wenu huyo, au?!! 🤣🤣🤣🤣🤣
Jibu kwa swali lipi labda dada'angu?!!!!
Dada'ako nani bana ntolee nuksi mie

Kumbe nyie hamuamini kama mama ni Rais? Maskini, mama ana tabu sana
 
Yupo mtoto wa Samia,I forget his name,amemuoa Tunda mtoto wa Shengena. Sijui kama unamfahamu Shengena ( marehemu) alikuwa kada wa CCM.
Huyo Nuhu? Au nawe una jina lingine la mtoto huyo?🤔🤔
 
JF hamuwezi kuwa hamna taarifa zao kabisa, wazee wa kuchimba tuleteeni faili zao tuwachambue.
Kwanza wazazi wa huyo mama ni akina nani na wapo wapi. Uliwahi kusikia wakitajwa popote, mbali ya wajomba waliko Oman?
Abdul ambaye habari zake tumesikia na hivi karibuni Jeshi la Polisi limejitokeza haraka sana kujibu tuhuma za kumhusisha na kifo cha mwandishi
Taarifa hii imenistua, kwani ndio kwanza naipata. Kifo cha Mzee Ally Mohamed Kibao ni vigumu sana kumtenganisha huyu dogo na tukio lile. Sasa mambo yanazidi kuwa mengi.
 
Ni haki Yao kutokujulikana maana ni chaguo Lao ni watu wazima ,pengine hawataki mambo ya Siasa kabisa
 
Mkuu utapeli mimi nimeanza lini?
 
Samia uingereza alikuwa anaishi mtoto wa mdogo wake (mpwa wake). Huyo binti amesharudi bongo kapata tapeli mmoja anaishi nae Morogoro siku hizi.
Mayor Quimby uko deep sana lakini huyo binti tunagongana nae sana masaki nadhani ana nyumba masaki.

Kanenepa sana siku hizi sio kama alivyokuwa UK. Macho yale yale ya kizimkazi
 
Abdul mbona hayupo
 
Huu ukimya huku kaka yao akiwa kilaza vile, si wa kawaida!
Huyo ndio mwenye akili kupita hao. Familia hiz huchagua na kuwaandaa warithi wa nafasi zao. Mfano Ridhiwani. Kikwete anao watoto ambao hawajulikani public. Sio kimakosa ni kwa mipangilio.
Pia Mwiguru anajifunza mchezo huu wa kihuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…