Hivi watu wa Afghanstan ni wazungu, waarabu au wahindi?

Hivi watu wa Afghanstan ni wazungu, waarabu au wahindi?

Na wabongo wanaotoa kafara na kuuwa maalbino, wakongwe, baba anauwa mzazi, mzazi anauwa mtoto, waliouawa na watu wacojulikana n.k unawazungumziaje hawa?

Kuhusu uislamu, suala la kuuwa lina mipaka yake, mtu anauwa watu waco na hatia hiyo ni nafsi yake na co uisilamu ulivyo amrisha.
Unachekesha kweli dogo, usifananishe uchawi na imani......Hawa wabongo wapuuzi wanaofuga mandondocha, kuua maalbino na wakongwe ni wachawi au watu waliolaaniwa, na wale nduguzo wanaojilipua kwa kisingizio cha dini eti kwamba wanaenda mbinguni kupewa mabikra 72 ni mazwazwa au mazombie ya dini wasiojuwa ukweli na kuwa watumwa wa dini. Hizi dini zote Ukristo na Uislam zimejawa na mauwaji tu, hazina maana kwetu.
 
Kuwa muelewa kijana, na usijifanye mjuwaji wakati uislamu wenyewe huujui A to Z. Usome vizuri upate kujua, na sio kujisemea.

وَلَا تَقْتُلُوا النَّفْسَ الَّتِي حَرَّمَ اللَّهُ إِلَّا بِالْحَقِّ ۗ وَمَنْ قُتِلَ مَظْلُومًا فَقَدْ جَعَلْنَا لِوَلِيِّهِ سُلْطَانًا فَلَا يُسْرِفْ فِي الْقَتْلِ ۖ إِنَّهُ كَانَ مَنْصُورًا

Wala msiuwe nafsi ambayo Mwenyezi Mungu amekataza isipo kuwa kwa haki. Na aliye uliwa kwa kudhulumiwa basi tumempa madaraka mrithi wake. Lakini asipite mpaka katika kuuwa. Kwani yeye anasaidiwa.

Je, una uhakika gani hao waisilamu wanapigana kwa njia ya Mwenyezi Mungu? Ndio maana nikakuambia kuuwa kuna mipaka yake katika uisilamu.
 
Back
Top Bottom