Hivi watu wa Afghanstan ni wazungu, waarabu au wahindi?

Hivi watu wa Afghanstan ni wazungu, waarabu au wahindi?

, kiutaalam wanaitwa 'Magaidi' tu.

Na wewe unajiita nani? Hivi wale wa Afghanistan utawalinganisha na waafrika tulionao huku wanaokatiza maisha ya watu!! Ingawa co wote wabaya!! Mtu ananyofolewa uke/uume utasema mtu mwema huyo! Albino anauawa, mzazi anamtoa kafara mwanae kisa mali, mtu anapigwa kiberiti kisa ameiba hela ama bidhaa kiduchu utasema hao ni wema!! Unyama wa aina nyingi hufanyika, nikiorodhesha hapa utachoka kusoma 😁
 
Vipi kuhusu watu wa Uzbekistan na Kazakhstan?
Na wale wa Kyrgyzgistan? Mongolia je?
 
Eti wakuu, watu wa Afghanstan ni jamii gani?
Hao apo
Screenshot_2022-03-15-19-17-02-694_com.android.chrome.jpg
 
Back
Top Bottom