kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
-
- #81
Shida inakuwaga ni nini?Hasa kipindi hiki ambacho watu wamefunga,yaani midomo inatowa harufu za ajabu,utafikiri kashikilia kitu mdomoni, Bora basi mwanaume anuke mdomo,ikiwa ni mwanamke hata kuolewa kwake ni ngumu.
Hili tatizo la harufu mbaya ya mdomo (halitosis) ni jambo linalowakumba watu wengi bila wao kujua. Mara nyingi husababishwa na:Heshima yenu wana jukwaa, mimi huwa najiuliza hawa watu wanaonukaga midomo huwa hawajijui kwani.
Kuna mbaba mmoja huwa anakujaga hapa ofisini kuna muda anaweza akawa anaongea karibu na mimi namsikia kabisa mdomo wake unatoa harufu, sasa najiuliza hata nyumbani mke wake ameshindwa kumwambia, yeye mwenyewe je hasikii hiyo harufu.
Kwa mnaofahamu hili tatizo dawa yake ni nini, tuwasaidie watu wanaopitia hii changamoto.
Kwahiyo unatuletea habari za uzushi???Sikujua that's why nikauliza
Asante mkuu umeiweka vyema kabisaHili tatizo la harufu mbaya ya mdomo (halitosis) ni jambo linalowakumba watu wengi bila wao kujua. Mara nyingi husababishwa na:
✅ Usafi duni wa kinywa – Kutopiga mswaki vizuri au kutosafisha ulimi.
✅ Magonjwa ya fizi – Maambukizi kwenye fizi yanaweza kusababisha harufu mbaya.
✅ Kunywa maji kidogo – Mdomo mkavu unachangia harufu kwa sababu mate husaidia kusafisha bakteria.
✅ Chakula na vinywaji – Vyakula kama vitunguu, kitunguu saumu, au kahawa vinaweza kuacha harufu mbaya mdomoni.
✅ Tumbo na afya ya ndani – Maambukizi ya tumbo au asidi ya tumbo (acid reflux) yanaweza kusababisha harufu mbaya.
✅ Matumizi ya sigara na pombe – Hivi vinaweza kusababisha mdomo kuwa mkavu na kutoa harufu kali.
Dawa ya Harufu Mbaya ya Mdomo
✔ Piga mswaki angalau mara mbili kwa siku, usisahau ulimi.
✔ Tumia floss (nyuzi za meno) kusafisha mabaki ya chakula.
✔ Kunywa maji mengi kila siku.
✔ Tafuna chewing gum isiyo na sukari ili kuchochea uzalishaji wa mate.
✔ Tumia mouthwash yenye antiseptic kuua bakteria.
✔ Tafuna mbegu za iliki (cardamom) au mdalasini baada ya kula.
✔ Punguza vyakula vyenye harufu kali kama vitunguu na kitunguu saumu.
✔ Tembelea daktari wa meno angalau mara mbili kwa mwaka.
Kwa huyu mbaba, labda watu wa karibu wanamwogopa kumwambia moja kwa moja. Lakini kama kuna mtu anamjali, ni vyema kumweleza kwa njia ya heshima ili apate suluhisho.
Wewe umeshawahi kukumbana na mtu mwenye harufu mbaya ya mdomo? Ulifanya nini? 😅
Habari zipi za uzushi?Kwahiyo unatuletea habari za uzushi???
Hiyo hatari kama wasipopata tiba mapemakuoza kwa mapafu pia huchangia kutoa harufu mbaya
Sasa zile sura personal mnazozitaka ni zipi? 🤣Sio wotee, sio kivilee.
😂😂😂😂😂
Sio wotee, Sio kivilee. 😂😂😂😂Sasa zile personal mnazozitaka ni zipi? 🤣
Si huwa mnasema mnataka mwanaume sura mbovu, hapulizi manukato, ananuka kama beberu, haswaki mdomo meno yamejaa mchanganyiko wa blueband na peanut butter .
Hahaha 😂, wanawake huwa haeleweki mkuu.Sasa zile personal mnazozitaka ni zipi? 🤣
Si huwa mnasema mnataka mwanaume sura mbovu, hapulizi manukato, ananuka kama beberu, haswaki mdomo meno yamejaa mchanganyiko wa blueband na peanut butter .
Baadhi wanakomaa na meno ya mbele tu sehemu pengine wanarukaruka tu hasa Magego ya juu pale mswaki unabidi ugeuzwe juu chinUsafi wa kinywa kwa kina unahitajika, Wengi wao huwa hawasugui Ulimi na mswaki.
Sipendi mtu anae toa harufu kinywani, huwa naboreka, nawaza mwenza wake anawezaje kuvumilia Denda? Au kupumuliana.
Hiyo harufu, Woiiiiiiih.
Nani anataka wa hivyo mh! Mimi hapana aiseeSasa zile personal mnazozitaka ni zipi? 🤣
Si huwa mnasema mnataka mwanaume sura mbovu, hapulizi manukato, ananuka kama beberu, haswaki mdomo meno yamejaa mchanganyiko wa blueband na peanut butter .
Waeleze hao.Baadhi wanakomaa na meno ya mbele tu sehemu pengine wanarukaruka tu hasa Magego ya juu pale mswaki unabidi ugeuzwe juu chin
Kabisa kwenye usafi wa kinywa kunahitaji umakini sanaBaadhi wanakomaa na meno ya mbele tu sehemu pengine wanarukaruka tu hasa Magego ya juu pale mswaki unabidi ugeuzwe juu chin
Wengi wanakuwa hawajijui kabisa ila ni tatizo linalosaidika hospitalHeshima yenu wana jukwaa, mimi huwa najiuliza hawa watu wanaonukaga midomo huwa hawajijui kwani.
Kuna mbaba mmoja huwa anakujaga hapa ofisini kuna muda anaweza akawa anaongea karibu na mimi namsikia kabisa mdomo wake unatoa harufu, sasa najiuliza hata nyumbani mke wake ameshindwa kumwambia, yeye mwenyewe je hasikii hiyo harufu.
Kwa mnaofahamu hili tatizo dawa yake ni nini, tuwasaidie watu wanaopitia hii changamoto.
Wengine watang'oa magego ili kuepusha kunuka mdomo mkuu.Baadhi wanakomaa na meno ya mbele tu sehemu pengine wanarukaruka tu hasa Magego ya juu pale mswaki unabidi ugeuzwe juu chin
Mwanaume hata kama haogi na kuswaki kikubwa pesa na good life.Nani anataka wa hivyo mh! Mimi hapana aisee
Wawahi hospital kwa tiba kabla tatizo halijawa kubwaWengi wanakuwa hawajijui kabisa ila ni tatizo linalosaidika hospital