Hivi wauza nyama choma mbuzi na supu ya mbuzi huwa mnafanya haya mambo ? 😂😭

Yaani tunakula vya ajabu ila hakuna jinsi muhimu usione

Mimi nilishangaa kuna mchina fulani kila siku tulikua tunakula vyakula vyake siku nikaja kuona alooo anaonja supu na kijiko then anarudisha humo nilichoka sana 🙌🏼 tena kijiko anaingiza chote mdomoni
Kwahiyo wateja wote mlikula denda la mchina😂😂😂💔
 
Yaani tunakula vya ajabu ila hakuna jinsi muhimu usione

Mimi nilishangaa kuna mchina fulani kila siku tulikua tunakula vyakula vyake siku nikaja kuona alooo anaonja supu na kijiko then anarudisha humo nilichoka sana 🙌🏼 tena kijiko anaingiza chote mdomoni

Kwahiyo analazimisha nanihii kwa nguvu? 😄 😄
 
Yaani tunakula vya ajabu ila hakuna jinsi muhimu usione

Mimi nilishangaa kuna mchina fulani kila siku tulikua tunakula vyakula vyake siku nikaja kuona alooo anaonja supu na kijiko then anarudisha humo nilichoka sana 🙌🏼 tena kijiko anaingiza chote mdomoni
Hiyo ya mchina mbona ndogo 😅😅😅
Kuna kipindi fulani miaka ya 2009 nilikuwa napenda kula salad iliyokuwa inatengenezwa na Mzungu fulani, kumbe alikuwa anatumia maji ya bomba la chooni na alivyokuwa anaonja aisee zaidi ya huyo Mchina wako 😆
 
Ndio maana unashauriwa kula sehemu unayoijua vyema na uliyoizoea. Mimi iwe mdudu, supu, misosi au nyama choma. Siwezi kwenda kula sehemu siijui na ninayo iamini.

Vyakula vya kuuza vina mambo mengi sana ukifuatilia. Mshana Jr
 
Hiyo ya mchina mbona ndogo 😅😅😅
Kuna kipindi fulani miaka ya 2009 nilikuwa napenda kula salad iliyokuwa inatengenezwa na Mzungu fulani, kumbe alikuwa anatumia maji ya bomba la chooni na alivyokuwa anaonja aisee zaidi ya huyo Mchina wako 😆
Alikuwa ana onja vipi😅
 
Wakuu, jana nilikuwa sehemu maarufu kwa nyama choma ya mbuzi. Watu huwa ni wengi kiasi kwamba wengine husafiri zaidi ya kilomita 100 kwenda kula mbuzi choma, hasa weekend! 😂🐐

Nikiwa nimekaa na jamaa zangu, mara nikawaona vijana wakipita meza hadi meza kukusanya mifupa iliyobaki baada ya wateja kula. Cha ajabu, walikuwa wanaikusanya kwa umakini mkubwa sana, wakiwa na vyombo vilivyozungushiwa foili! 😂

Jamaa yangu akamuuliza yule dogo aliyekuja kukusanya mifupa kwenye meza tuliokaa

"Dogo, hii mifupa mnapeleka wapi?

Akajibu, huwa tunapikia chakula cha mbwa." Dogo akaondoka zake chap.

Baada ya kuondoka, jamaa yangu mwingine akasema kuwa amewahi kushuhudia maeneo fulani ya Pwani ya Kusini mifupa hiyo ikichambuliwa, minofu iliyobaki ikachanganywa, utumbo nyama nyingine na kutengeneza supu ya mbuzi inayouzwa kwa watu! 😭😂

Wakuu, nilijiuliza sana:

Je, inawezekana mtu akaenda kunywa supu kwa furaha, kumbe nyama iliyotumika imetokana na mabaki ya chakula yaliyokusanywa kwenye sahani za wateja wengine?

Kama kweli kuna wanaofanya hivyo, hii si biashara tena, ni kuhatarisha afya za watu kwa ajili ya faida!

Ndugu zangu wauza nyama choma na supu ya mbuzi, tunatambua umuhimu wa kutafuta kipato, lakini msiweke faida mbele ya afya za wateja. Mabaki kutoka kwenye sahani za wateja yanaweza kuchafuliwa na vijidudu, na kuyachemsha tena hakuhakikishi usalama wake.

Hata hivyo, sina ushahidi kwamba wauza nyama katika eneo nililotembelea wanafanya hivyo, na sina haki ya kuwatuhumu wote bila uchunguzi.
Chai
 
Pwani ya kusini, inawekezekana utakuwa sahihi..Kule unaenda kwenye jungu la supu ,unakuta mifupa tu yaani supu kama maji ..Nyama ni shida sana ,watu wanakula mpaka supu ya ngozi.
 
Alafu ukisoma post #31 inasema chai , yaani humu kuna wagonjwa wengi mnoo 😅
 
Balaa mnoo sasa ile mifupa ya nyama choma iliyobaki inachanganywa na mapupu, bandama, utumbo inafyatulia tena supu dah wabongo wana mambo aisee 😄
Biashara bila idea 💡 haiendi....
Lazma utengeneze njia ya kuongeza kipato
 
Ubunifu bila maadili unaweza kuleta faida mfukoni huku ukihatarisha afya za watu. Biashara bora ni ile inayotengeneza pesa bila kumfanya mteja alipe gharama ya uzembe wa mfanyabiashara. Faida ni muhimu, lakini afya za watu si sehemu ya majaribio ya kutafuta utajiri. 😄
Biashara bila idea 💡 haiendi....
Lazma utengeneze njia ya kuongeza kipato
 
Wakuu, jana nilikuwa sehemu maarufu kwa nyama choma ya mbuzi. Watu huwa ni wengi kiasi kwamba wengine husafiri zaidi ya kilomita 100 kwenda kula mbuzi choma, hasa weekend! 😂🐐

Nikiwa nimekaa na jamaa zangu, mara nikawaona vijana wakipita meza hadi meza kukusanya mifupa iliyobaki baada ya wateja kula. Cha ajabu, walikuwa wanaikusanya kwa umakini mkubwa sana, wakiwa na vyombo vilivyozungushiwa foili! 😂

Jamaa yangu akamuuliza yule dogo aliyekuja kukusanya mifupa kwenye meza tuliokaa

"Dogo, hii mifupa mnapeleka wapi?

Akajibu, huwa tunapikia chakula cha mbwa." Dogo akaondoka zake chap.

Baada ya kuondoka, jamaa yangu mwingine akasema kuwa amewahi kushuhudia maeneo fulani ya Pwani ya Kusini mifupa hiyo ikichambuliwa, minofu iliyobaki ikachanganywa, utumbo nyama nyingine na kutengeneza supu ya mbuzi inayouzwa kwa watu! 😭😂

Wakuu, nilijiuliza sana:

Je, inawezekana mtu akaenda kunywa supu kwa furaha, kumbe nyama iliyotumika imetokana na mabaki ya chakula yaliyokusanywa kwenye sahani za wateja wengine?

Kama kweli kuna wanaofanya hivyo, hii si biashara tena, ni kuhatarisha afya za watu kwa ajili ya faida!

Ndugu zangu wauza nyama choma na supu ya mbuzi, tunatambua umuhimu wa kutafuta kipato, lakini msiweke faida mbele ya afya za wateja. Mabaki kutoka kwenye sahani za wateja yanaweza kuchafuliwa na vijidudu, na kuyachemsha tena hakuhakikishi usalama wake.

Hata hivyo, sina ushahidi kwamba wauza nyama katika eneo nililotembelea wanafanya hivyo, na sina haki ya kuwatuhumu wote bila uchunguzi.
Kuna siku mapema alfajiri, jamaa wanashusha ng'ombe aliyekufa kutoka kwenye Toyo, huku Kirikuu ipo stand by kubeba mzigo...walioko kwenye Kirikuu ni jamaa nawafahamu ni maarufu sana kwa kupika supu na nyama choma.....
 
Ubunifu bila maadili unaweza kuleta faida mfukoni huku ukihatarisha afya za watu. Biashara bora ni ile inayotengeneza pesa bila kumfanya mteja alipe gharama ya uzembe wa mfanyabiashara. Faida ni muhimu, lakini afya za watu si sehemu ya majaribio ya kutafuta utajiri. 😄
Unajua Sheria za jikon? (Restaurant)
Kama uhusiki huruhusiwi kuingia....
....jikon kuna mambo mengi
 
Back
Top Bottom