Dah! Mwanamke mmoja alidanganywa na Shoga yake kuwa akitaka kumfanya mume wake ampende zaidi awe anachuja maji ya kupikia kwa kutumia chupi yake ๐คฎKuna bibi mmoja alikuwa anapika karimati yale maji ya kuchanganyia unga wa ngano alikuwa ananiwia uchi wake ๐๐๐
Kama uchi ulivyo mtamu basi na karimati zake ziwe na utamu kama wa uchi na wateja wake wengi walikuwa vijana wa kiume ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐ ๐ baasiiiiUkitaka kujua utanichanganya ๐๐๐
๐๐ผ๐๐ผDah! Mwanamke mmoja alidanganywa na Shoga yake kuwa akitaka kumfanya mume wake ampende zaidi awe anachuja maji ya kupikia kwa kutumia chupi yake ๐คฎ
Mkuu, ogopa mwanamke anayeamini masuala ya uganga wa kienyeji.
Huko ndo machinjio ilipo, itakuwa ulikunywa supu kibudu..!!Kuna siku maeneo ya Vingunguti niliagiza supu na chapati mbili nikatoa 5000 nikarudishiwa 3,900 supu classic jero tu na chapati 300 @ dah nilishangaa mnoo
Wanawake wanakuwaga na akili fupi sana baadhi yao ๐๐๐Dah! Mwanamke mmoja alidanganywa na Shoga yake kuwa akitaka kumfanya mume wake ampende zaidi awe anachuja maji ya kupikia kwa kutumia chupi yake ๐คฎ
Mkuu, ogopa mwanamke anayeamini masuala ya uganga wa kienyeji.
Bibi yangu hali vya mgahwani wala vya kununua mtaani.Ila we Manyanza hapana lol ๐ we ulijuaje ?
Ukimpata mwanamke mwenye akili fupi umekwisha mkuu. Haya unayoyasema mtu anaweza kudhani ni utani, lakini ndo ukweli wenyewe.Wanawake wanakuwaga na akili fupi sana baadhi yao ๐๐๐
Kuna Dada mmoja alikuwa anamchanganyia jamaa yake mavi ๐ฉ kwenye samosa za nyama ili jamaa adate ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Dah!Kwa wafugaji wa mbwa kuona mtu anaokota mifupa kwa ajili ya chakula ni kawaida.... Sidhani kama wanarudishia wateja....
Ila binafsi sitasahau mwaka 2012 hivi nilienda Mbamba bay.. nikaagiza ugali wa muhogo na samaki. Nikawa nauchapa pale sijui nikawaza nini nikaanza kuchambua yule samaki asee nilikuta mafunza kutema chakula kilicho mdomoni natema funza....
Fala sana yule mama muuza...
Mpaka leo ninayo picha ya ule msosi.
Ulishawahi kufika hapo mnadani au je kama unajua mbuzi mkubwa anarange bei gani mkuuLoliondo pale Kibaha mnadani
Nisawa tu sababu hata kwa mamantilie kuko hivyo.Wakuu, jana nilikuwa sehemu maarufu kwa nyama choma ya mbuzi. Watu huwa ni wengi kiasi kwamba wengine husafiri zaidi ya kilomita 100 kwenda kula mbuzi choma, hasa weekend! ๐๐
Nikiwa nimekaa na jamaa zangu, mara nikawaona vijana wakipita meza hadi meza kukusanya mifupa iliyobaki baada ya wateja kula. Cha ajabu, walikuwa wanaikusanya kwa umakini mkubwa sana, wakiwa na vyombo vilivyozungushiwa foili! ๐
Jamaa yangu akamuuliza yule dogo aliyekuja kukusanya mifupa kwenye meza tuliokaa
"Dogo, hii mifupa mnapeleka wapi?
Akajibu, huwa tunapikia chakula cha mbwa." Dogo akaondoka zake chap.
Baada ya kuondoka, jamaa yangu mwingine akasema kuwa amewahi kushuhudia maeneo fulani ya Pwani ya Kusini mifupa hiyo ikichambuliwa, minofu iliyobaki ikachanganywa, utumbo nyama nyingine na kutengeneza supu ya mbuzi inayouzwa kwa watu! ๐ญ๐
Wakuu, nilijiuliza sana:
Je, inawezekana mtu akaenda kunywa supu kwa furaha, kumbe nyama iliyotumika imetokana na mabaki ya chakula yaliyokusanywa kwenye sahani za wateja wengine?
Kama kweli kuna wanaofanya hivyo, hii si biashara tena, ni kuhatarisha afya za watu kwa ajili ya faida!
Ndugu zangu wauza nyama choma na supu ya mbuzi, tunatambua umuhimu wa kutafuta kipato, lakini msiweke faida mbele ya afya za wateja. Mabaki kutoka kwenye sahani za wateja yanaweza kuchafuliwa na vijidudu, na kuyachemsha tena hakuhakikishi usalama wake.
Hata hivyo, sina ushahidi kwamba wauza nyama katika eneo nililotembelea wanafanya hivyo, na sina haki ya kuwatuhumu wote bila uchunguzi.
Nashukuru kiongoziSijauliza bei lakini naona imechangamka fanya utafiti kwanza
๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ๐ข๐ขBibi yangu hali vya mgahwani wala vya kununua mtaani.
Aliwahi kunisimulia kwamba alimkuta muuza maharage amechutama anaosha papa kwenye sufulia la maharagwe kuanza siku hiyo hali cha wauza mitaani
ShesRise_1 soma hapa ๐Nisawa tu sababu hata kwa mamantilie kuko hivyo.
Niliwahi agiza wali mboga wa buku jero, ukaja ulikuwa wali wa maharage, na mboga za majani.
Ile natafuna nashangaa kuna mifupa ya samaki mdomoni mara mifupa midogo midogo ya nyama sasa nikajiuliza hii imekaaje nikadhani labda walikosea wakanichanganiyia samaki ya mteja mwingine wakati wa kutoa wakasahahu kucheki mifupa ila hiyo iliwahi tokea mara kadhaa Nilikuja kugundua baadae kumbe ule wali unaoagizwa na wateja waliokula wali samaki wakabakiza au wali nyama unarudishwa kwenye sufuria bila hata kuchambuliwa unachemsgwa tu asubui au mchana mteja mwingine unakumbana nao, chunguzeni vyakula vya migahawa bubu muone hata radha ni mbovu mpaka leo siri kwa mamantilie naenda town nikikosa muda naagiza chipsi au nashinda njaa mpaka kitambi kimeisha