Hivi wauza nyama choma mbuzi na supu ya mbuzi huwa mnafanya haya mambo ? 😂😭

Kuna mahali nilikuaga napata supu maeneo ya buguruni chakushangaza ile supu ilikuaga haina nyama wala mfupa nikaja kupata habari kumbe mama muuza huwanaenda kuchukua buchani gogo la kukatia nyama alafu analichemsha anakuja kutuuzia supu bakuli kama kisado Tsh200/=
 
Yaani hizi supu sijui bora za utumbo tu ? Nazo unaweza ukauziwa hata utumbo wa mbwa 🐕 labda supu ya kuku wa kienyeji 😄
 
Sasa kama watu wanakunywa supu za ngozi ya ng’ombe ndo watajali huo wingi wa mifupa kwenye supu??

Mi ndiomana sipendi kula kula hovyo..
 
Mimi si mlaju wa nyama, lakini ukweli ni kwamba wafanyabisha wengi wa vyakula wa kiafrika wana mambo ya ajabu.
Kuna bibi mmoja alikuwa anapika karimati yale maji ya kuchanganyia unga wa ngano alikuwa ananiwia uchi wake 😄😄😄
Kama uchi ulivyo mtamu basi na karimati zake ziwe na utamu kama wa uchi na wateja wake wengi walikuwa vijana wa kiume 🤣🤣🤣
 
Ila we Manyanza hapana lol 😆 we ulijuaje ?
 
Sasa kama watu wanakunywa supu za ngozi ya ng’ombe ndo watajali huo wingi wa mifupa kwenye supu??

Mi ndiomana sipendi kula kula hovyo..
Kuna siku maeneo ya Vingunguti niliagiza supu na chapati mbili nikatoa 5000 nikarudishiwa 3,900 supu classic jero tu na chapati 300 @ dah nilishangaa mnoo
 
Back
Top Bottom