MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 2,242
- 3,161
upo vizuri mtaalamu kwenye CV yako usiache kutupia haka ka experience.Observation yako siyo ya kweli. Dar ina wanawake wanaojiuza kutoka kila kabisa na kila mkoa. Tofauti ni kuwa hawa wanaoitwa ''wahaya'' huwa na mtindo na aina yao ya kujiuza. Wanakuwa na vibanda vingi vidogo vidogo sehemu moja, na ikifika jioni wanasimama mlangoni kusubiri wateja. Wateja wengi huwa wanajua kinachoendelea na kawaida kunakuwa hakuna mazunguzo ya kutongozana au kupatana bei bali mteja anaingia ndani moja kwa moja, analipa shughuli inafanyika na anatoka. Yeye anakwenda tena mlangoni kusubiri mteja mwingine.
Wewe ndiye umeingia chocho. Amesema Prof Mukandala siyo Mkenda.Profesa Mkenda Mrombo huyu, anakuja vipi kwenye hiyo timu yako ya kina Badhiru au Tibaijuka? Mwongozo tafadhali.
Labda nitoke nje ya mada Dr Hayaland kwani Muhaya ni nani au anatoka sehemu gani za mkoa wa Kagera?Hapa JF watu mnaongea mambo mengi ilimradi .
Nenda ufanye utafiti uwaulize hao wadada maswali yafuatayo
Wanatoka wapi?
Wao ni wahaya?
Wao ni wanyayangiro?
Wahaya huwa hawafanyi hiyo biashara .
Mimi nimekaa Bukoba mjini na vijijini
Hao wanatoka Muleba na wanaitwa Wanyayangiro .
Kwahiyo ukisema wahaya unakuwa upo wrong
Ningekutukana ila basi.Haya states zilikuwa Buhanja,Ihangiro,Bugabo na Kyamutwara.Unasemaje Ihangiro siyo wahaya?Wahaya wanapatikana mkoa kagera wilaya mbili Bukoba mjini na bukoba vijijini .
So hao wanajiuza sio wahaya ila wanaitwa 'Wanyayangiro'
😹😹😹😹 Waungwana mmegoma kukubali..!!Unajitahidi kujitetea sana mkuu....haya jioni nitaenda Hapo Riverside nikawakague maongezi yao, sikuwa na nia leo ila acha niende nikawakague
Nambie hao wadada wanaojiuza wanatoka wapi ?Ninhekutukana ila basi.Haya states zilikuwa Buhanja,Ihangiro,Bugabo na Kyamutwara.Unasemaje Ihangiro siyo wahaya?
😹😹😹 Hao hata wenye PhD kazi ni moja hawawezi kutoa kwa mmoja na lazima muuziane..!!Mkuu hebu niambie mama Tibaijuka ni Muhaya au sio Muhaya? maana nawajua watoto wa kaka yake 2, An...t na T...a wanauza Ile mbaya...mbaya kabisa Wana ndugu zao wanatokaga Mikocheni kila ijumaa wanakuja kuuzia huku Tababa
Unaviweza vya 'katerero' ndugu?Wanawake wa kihaya wako vizuri Wana utekezi mwingi Kwa wale tunaopenda kuwatoa maji tunawatoa kweli kweli
DuuuWahaya wanapatikana mkoa kagera wilaya mbili Bukoba mjini na bukoba vijijini .
So hao wanajiuza sio wahaya ila wanaitwa 'Wanyayangiro'
😹😹😹😹 meow 😸Nimejaribu kuwafafanulia hapa
IPO hivi wahaya huwa wanatoka Bukoba mjini na vijijini .
Ila kuna kabila wanahitwa "Wanyayangiro " hawa wanapatikana wilaya ya Muleba.
Hawa ndo wapo DSM wanafanya biashara ya ngono.
Na kule wanakotoka wanachangamoto ya hali ya hewa ambayo haisapoti kilimo wala ufugaji hivyo kupata chakula na maji inakuwa ni changamoto Sana .
Kwahiyo wakikwama katika Shule the only option wanayobaki nayo huwa ni kusambaa mikoani na visiwani kujiuza na kuuza bar .
Na hiyo Kazi huwa wanaanzia wakiwa huko huko kwao hasa siku za minada .
Kama una jicho la kutazama unaweza kuelewa kitu wale wanaanzaga Kama wauza bar wakichoka umri ukisogea wanahamia kimboka n.k
Je kwanini watu huwahita wahaya
-kwasababu wanazungumza lugha inayofanana na kihaya na baadhi ya tamaduni zinafanana Kama kucheza ngoma ,kula ndizi n.k
Kama umekaa Bukoba mjini au vijijini hakuna hiyo biashara ya ngono wala hao wanawake hawapo
Pale kagera kuna makabila yafuatayo
Wanyambo -
Wahaya
Waziba
Wanyayangiro
Wahangaza
Wasubi
Ufafanuzi
Wahaya
Wanyambo
Waziba
Wanyangiro
Hawa lugha zao 90% zinaendana Ila wametofautiana katika utamaduni
Na waangaza na wasubi -hawa pia lugha zao 90% wanafanana Ila wametofautiana kiutamaduni .
Wahaya -wanyambo -waziba -wanyayangiro baadhi ya mila zao zime link na waganda
Na waangaza na wasubi -baadhi ya mila zao zimelink na warundi na wanyarwanda.
Nafikiri ufafanuzi huu utasaidia kuondoa upotoshaji
Nenda Amsterdam, Holland kuna mitaa kwa Kiingereza inaitwa Red light. Mtaa maarufu kama Ruysdaelkade, Singel ujionee biashara ya ngono inavyofanywa. Alafu muulize Virgil Van Dijk, Micky Van de Van. Nk nk kama wanaona aibu Eti nchini mwao watu wanauza K. After all biashara ya K Yesu aliikuta ilimshinda kuimaliza mpaka anakufa. Na Makabila yote na Mataifa yote yanaifanya.Hata kama wanapata kipato ila ukweli kuuza k sio kitu cha kujivunia
Unakijua Kijiji cha Buhaya Kiko Wilaya Gani? Maeneo yenye wahaya mkoa wa Kagera ni Muleba, Bukoba vijijini, Misenyi na Bukoba mjini. Katika hayo maeneo Kuna pia mwingiliano wa makabila mengine ya jirani.Hakika Mkuu inafikirisha Mkuu na wakifika DSM wanajiita Wahaya ili kutembelea upepo .
But in fact wahaya wanatoka Bukoba Mjini na Bukoba vijijini the rest ni Wanyayangiro , wanyambo , waziba , n.k
Ukikuta Dada anayetoka Bukoba mjini au Bukoba vijijini anajiuza nitfute nitakupa zawadiUnakijua Kijiji cha Buhaya Kiko Wilaya Gani? Maeneo yenye wahaya mkoa wa Kagera ni Muleba, Bukoba vijijini, Misenyi na Bukoba mjini. Katika hayo maeneo Kuna pia mwingiliano wa makabila mengine ya jirani.
😹😹😹😹 Umeambiwa sio wahaya ila wanaongea kihaya..!!Mbona sasa wanaonekana Wanawake wote wanajiuza Dar ni Wahaya tu na siyo Wamasai ?
Igweeeeeeeeeeee 😹😹😹Wahaya ndivyo walivyo si wanaume si wanawake ni vitombile na tombwagile mno
😹😹😹''wahaya'' huwa na mtindo na aina yao ya kujiuza. Wanakuwa na vibanda vingi vidogo vidogo sehemu moja, na ikifika jioni wanasimama mlangoni kusubiri wateja. Wateja wengi huwa wanajua kinachoendelea na kawaida kunakuwa hakuna mazunguzo ya kutongozana au kupatana bei bali mteja anaingia ndani moja kwa moja, analipa shughuli inafanyika na anatoka. Yeye anakwenda tena mlangoni kusubiri mteja mwingine.
Ktk harakati za kujinasua aise.Mmeanza ubaguzi. Kwa hiyo wanaotoka Muleba, Misenyi siyo Wahaya?
🤣 🤣 🤣 🤣😹😹😹 Hao kupitia hiyo biashara ndo wanasomesha hao prof, kwa hilo nawapongeza..!! 🤣