Safi Sana.Ana uwezo
Ana hekima
Ana nidhamu
Ni mvumilivu
Ni mnyenyekevu
Anayo mapungufu kimfumo na kibinadamu
Kama unampenda mtu kutokana na sura yake , basi nenda kanywe naye chai - JK NYEREREJamani hata mumpige majungu vipi, hamuwezi kumharibia kwa wananchi. Aisee tunampenda sana PM wetu. Katika utawala huu, huyu tu ndiye tunamuelewa.
Chawa wake onesha Cha DibloTuonyeshe cha kwako kwanza!
Sasa agome au asigome hana jeuri ya Kuzuia,sana sana Rais ananweza mvumilia Hadi 2025Fitna kwa Kassim Majaliwa zimeanza baada ya yeye kukaa kimya kwenye hili sakata la kuuza bandari.
Mnamchukia kwa sababu amegoma kushirikiana na nyinyi wezi, mashetani msiowajali watanzania. Tunasimama na Waziri Mkuu wetu dhidi yenu!
SAMIA ATUPISHE!
Mmmmh!!! Kwani ana Mvi yeye!!! Maana huwa namuonea wivu mwenzangu kuwa hazeeki.Zaidi ya kupaka piko kichwani hana maajabu, sio kiongozi mbunifu.
Alienda katika vipaza vya Msikiti uliopo Njombe akasema Shujaa haumwi....!Ana uwezo
Ana hekima
Ana nidhamu
Ni mvumilivu
Ni mnyenyekevu
Anayo mapungufu kimfumo na kibinadamu
PUendeshaji wa nchi yetu ni kwa a collective responsibility, na sio kwa individual initiatives, anayefanya kila kitu ni Mkuu wa nchi, Rais wa JMT, hivyo kila kinachofanywa na wasaidizi wa rais, wanafanya kwa niaba ya rais, hivyo credits, sifa na utukufu ni kwake tuu, rais wa JMT na sio kwa watendaji individual.
P