Hivi wenzetu mnaowapanga wanaume au wanawake huwa mnawezaje

Hivi wenzetu mnaowapanga wanaume au wanawake huwa mnawezaje

Ndio Taifa lilipofikia,huyo anajiita ni daktari imagine anasema kabisa anakupa dawa za uongo na kweli,anatisha raia na taarifa za uongo ili apate pesa,Lakini haya Ni matokeo na kuzuka kwa vyuo vya afya kibao vinavyochukua form 4 failure wenye D tatu na kuwapa taaluma bila maadili.
Unamaanisha Ze Jackal ana D tatu?? Ana game ujue usijefanya akaishia kati 😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom