Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Legendary mwenyeweKwanza, Simu yangu Ina Password kwenye contact, Calls, msg, gallery na pia Nina App zangu za kuficha Baadhi ya Taarifa.
Pili, Ukiwa na wengi kama wee ni mwanaume lazima Ujiamin, úsiwe na woga au wasiwasi wa kukamatwa n.k.
Tatu, Lazima uwe umeshatengeneza mazingira Kwa Wife ya yeye kujua unaopendwa na Wanawake wengine huko mtaani ila huwataki,unamtaka wife wako tuu .
Nne, Ongea na simu au chat Kwa kujiamin hata kama mko na Wife, ukipigiwa simu na Mchepuko, wee pokea tu alafu Lopokaa "Nambieee Mpenzi wangu , wee unapiga simu muda Huu Niko na Mkalia Moyo wangu je huogopi Mwenye Mali kukupiga finboo??. Alafu chekaa chekaaaa ... hapo mchepuko atajiongeza , mtapiga Stori zingine na Hata ukikata Simu, Wife atajua ni masihara akitaka kujua zaidi ,unazugaa, Aaahhh Kadada fulan ka kazin huko kana visaaaaaa akooo!!
Tano, Hakikisha Michepuko yako inajua wee ni Mume wa mtu ,yaan akupe mbususu akijua huwezi kumuoa na kwamba wee ni Mume wa mtu.
Sita, Hakikisha unamjali sana Mkeo, na familia, yaaan wasipungukiwe kitu, hakikisha hakikisha hata shooo unampa ya maana mkeo , msifie sana Mkeo ,wakati unamla unamwambia yaan Wife kiukweli Toka nizaliwe sikuwah kutana na utamu huuu ,umenifanya Wanawake wengine ni waone kama wanaume wenzangu, Sina hamu nao hataaaaa !!.
Kwa ufupi, mambo mengi nishayaeleza humu kupitia nyuzi zangu, naweza kuhitimisha Kwa kusema
[emoji117]kua Alpha Male !!
[emoji117]Mfanye Mkeo / michepuko wawe watumwa wako KIHISIA !!.
[emoji117]Jua wajibu na majukumu yako kama Kichwa Cha familia, na kama Bwana wa michepuko.
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app