Hivi wenzetu mnaowapanga wanaume au wanawake huwa mnawezaje

Legendary mwenyewe

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Wanawake walioko kwenye ndoa kumbe wengine wanatia huruma sana nyie?!

Fikiria mumewe anavyomdanganya ilihali kumbe ni malaya tu nyie!

Mke anajiona mwenye bahati kumbe laiti angejua michepuko ina-enjoy kuliko yeye asingalijiona mwenye bahati wala nini!
 
Halafu wanaume wengine kwenye ndoa hasa wale malaya Na wakware hujifanya kujali familia na mke kumbe ni hila ya kumpumbaza mke asistukie nyendo zake na hata akisikia asiweze kuamini kirahisi!

Loog! [emoji848]
 
Imeandikwa: “mke mwema hakosi kuzijua njia za watu wa nyumbani mwake “

Maana yake including mume wake [emoji108]

Sasa mke michepuko mpaka inazalishwa huna habari!
 
Kuna wanawake wengine wanakuja kujua mumewe alikuwa na mchepuko wa kudumu na watoto wakati wa msiba wa huyo mume !

Mwanamke wa ndoa aliposikia nazani Na machozi ya kulia msiba wa hiyo mume yalikata hapohapo mazima!
 
Wee hujampanga andunje na matall dark and hansome kweli
Katika vitu nashindwa ni kuwapanga wanaume, kwanza nitakamatwa sababu sinaga siri. Huyo mmoja tu ananipasua kichwa hao wengi nawawezea wapi mie. Sema nina tabia ukinikwaza nikakwazika kweli sichukuagi round nasepa. Ukisikia siku nina mtu sio eti nachepuka ujue ndio nshahamia huko mazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ah safi...kwa hiyo bado unapambana na andunje wako🤣🤣🤣
Una moyo ngumu maana watu wafupi wakorofi hao.
Aya andunje akizingua basi unitonye nirushe karata yangu nyingine
 
Ah safi...kwa hiyo bado unapambana na andunje wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Una moyo ngumu maana watu wafupi wakorofi hao.
Aya andunje akizingua basi unitonye nirushe karata yangu nyingine
[emoji23] Alafu huwa nakuambia sio andunje bwana khaa!! yaan matani ya siku ile umeyabeba hadi leo muone kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wanawake wote tupo hivyo Kuna mengine unakutana nayo ya usaliti Tena mkubwa tu unafumba macho maisha yanaenda maana kushindana na mwanaume ni ngumu na Wala hatulipizi kikubwa kukazana kutafuta hela tu.
Sikiliza Bidada, inawezekana ukawa upo sahihi.

Nimeongea Kwa uzoefu .

Muda huuu ndo natoka kutomba mwanamke wa pili Kwa siku ya Leo.

Wote ni wake za watu.

Wote Wana hasira na Waume wao.

Wa kwanza nmemtomba kuanzia saa 3 mpaka saa sita ...bao mbili za masafa marefu...

Huyu ana hasira na Mumewe, baada ya Mumewe Kutembea na Rafiki yake kipindi Yeye kasafiri kwenda kumuuguza Mama yake hiyo ilikua ni Mwaka 2021 , ila mpaka Leo anakinyongo naye na Mume alikiri .... Mnyamwezi najipigia.


Wa pili naye nimepiga bao 2 kuanzia saa nane mpaka saa 11 na dakika 50 hivi .

Huyu Yeye ana hasira na kinyongo Kwa Mumewe, mwaka 2020 akiwa na mimba alojifungua mwaka 2021, aligundua ,Mumewe ametembea na Binti wa Dada yake , Binti huyu alikua kidato Cha nne ,alisomea Kwa Bidada huyu ( Mama Mdogo).........


Juzi ijumaa, nimemla mwingine, yeye ana kinyongo Kwa Mumewe kufuatia Mumewe Kutembea na Binti fulan mtaani kwao.

Hao ni baadhi ya wake za watu nilowala ambao sababu kubwa ya kuliwa ni hasira juu ya Waume wao !!.





my Dear, wee sema hujakutana na vichwa, yaan Mwanamke ajue Mumewe anamsaliti, na athibitishe, na Bado asiwe na Roho ya kisasi?? 🤣🤣🤣🤣
 
Ndo umemjibuje mwenzako na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…