Hivi wenzetu mnaowapanga wanaume au wanawake huwa mnawezaje

Maana hii statement umenitisha kidogo.
Aaah ulitaka kujua kama namm Mke wangu ni chawote au?..


Ok, Ngoja nikujibu hivi... Unadhan kwann Ngono inasababishwa Uhai wa kiumbe kipya? Na kwann inasababishwa Kifo cha kiumbe?.


Yaan ni ivi, Mwanamke anavyotoa bikra anatoa nguvu ya kiRoho ya uanamke wake , na akishaitoa basi Ili shetan asile tunda lake ni LAZIMA AWE MWENYE KUSALI KWELIKWELI.

Ushawah jiuliza, kwann mwanamke hawez msahau alomtoa bikra?.

Achana na Bikra... Ukweli nikwamba, Mwanaume yoyote aitwae EX Boy , ili mradi aliiweza kumla mwanamke fulan.... Uwezekano wakumla Tena upooo haijalishi ni miaka mingapi itapita.


Mambo ni mengi, itishe tu kusema , mambo mengine ni kufunika kombe tuu , tusiwe serious sana na kuanza kuchunguzana.
 
Hakuna bwana
Kuwapanga na kutokuwa bikra havina uhusiano kabisaa
Mkuuu , yaan kama ulishindwa kumuheshim Mungu ,alokuambia tendo la Ndoa ni mpaka Ndoani.

Wee ukatoa bikra na miaka 16 ukiwa kidato Cha tatu.

Usidhan Kuna miujiza itakayofanya usiliwe !!.


Unajua, wee Mwanamke unatongozwa!!.
 
Mkuuu , yaan kama ulishindwa kumuheshim Mungu ,alokuambia tendo la Ndoa ni mpaka Ndoani.

Wee ukatoa bikra na miaka 16 ukiwa kidato Cha tatu.

Usidhan Kuna miujiza itakayofanya usiliwe !!.


Unajua, wee Mwanamke unatongozwa!!.
Acha mbwembwe...
Kuwapanga haina uhusiano na kupoteza ile seal
 
Acha mbwembwe...
Kuwapanga haina uhusiano na kupoteza ile seal
Thread 'Ukinichiti nakuchiti' Ukinichiti nakuchiti

Unakumbuka huo Uzi wako ?????.


Mwanamke Makini hawezi kua na fikra za hivo Hata siku Moja Mkuu !!.


Alafuu, Leo una bwana huyu, maez mmeachan una bwana mwingine ,mwezi ule mwingine...


Wewe ni umewapnga tu tofauti yako nawao nikwamba wee ukiachana nammoja, ndo unaingia Kwa mwingine.
 
😂🙌 Basii imetosha
Aahh Mimi nawaambia , mnajua JF hiii tushukuru hizi fake IDs !!.

Na hamna mwanamke anayetaka KUONEKANA Malaya hapa chini ya Jua.


Kwahiyo nyote humu Wanawake, mnataka mjionyeshe kwamba ni ma Innocent 🤣🤣🤣.


Babuuuuu weee, huko nje mna washikajii Kadhaa Kadhaa !!!
 
😅😅😅 Kwahiyo unashauri nipige tu Hela?

Juzi ilikuwa nipige Dili ya milioni kabisa lkn mgonjwa nikampa all options akachagua kisichonipa Hela hlf kwangu ilikuwa fine tu.
Hongera sana chief kwa kulinda maadili yako ya taaluma...
 
Hahaha hahaha.....umetisha mkuu
 
Heeeeeeee....mkeo asijue unamcheat...umekwisha
 

Well said, kumbe utaratibu wa kuwapanga always she is upon, kaja kulia lia tu apa , [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uzinzi ni roho kamili....ukiwa nayo utapata na mbinu za kuwapanga aisee,we hujawahi waza mtu wa kawaida anapata WAP ujasiri wa kuwapanga wanawake na wote anawaleta gheto majirani wanaona haoni hata aibu jaman???
 
Uzinzi ni roho kamili....ukiwa nayo utapata na mbinu za kuwapanga aisee,we hujawahi waza mtu wa kawaida anapata WAP ujasiri wa kuwapanga wanawake na wote anawaleta gheto majirani wanaona haoni hata aibu jaman???
Yeah wana ujasiri kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…