Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Aaah ulitaka kujua kama namm Mke wangu ni chawote au?..Maana hii statement umenitisha kidogo.
Ok, Ngoja nikujibu hivi... Unadhan kwann Ngono inasababishwa Uhai wa kiumbe kipya? Na kwann inasababishwa Kifo cha kiumbe?.
Yaan ni ivi, Mwanamke anavyotoa bikra anatoa nguvu ya kiRoho ya uanamke wake , na akishaitoa basi Ili shetan asile tunda lake ni LAZIMA AWE MWENYE KUSALI KWELIKWELI.
Ushawah jiuliza, kwann mwanamke hawez msahau alomtoa bikra?.
Achana na Bikra... Ukweli nikwamba, Mwanaume yoyote aitwae EX Boy , ili mradi aliiweza kumla mwanamke fulan.... Uwezekano wakumla Tena upooo haijalishi ni miaka mingapi itapita.
Mambo ni mengi, itishe tu kusema , mambo mengine ni kufunika kombe tuu , tusiwe serious sana na kuanza kuchunguzana.