Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Speaking from experience?Ukitaka kupata na headache uwe na msururu ndio utajua hujui....ushapanga mtoko na bakari unashangaa Athumani kapaki nje gari muondoke!hapo Sasa ndio utasikia kisirani Cha bakari simu mfululizo na kukungojea kwenye kuduka Cha Mangi unarudi saa ngapi!huku nako simu za dulla haziishi🤔🤔🤔
😅😅😅 Dah aseeeh ningekuwa kama wewe ningekuwa naziingiza mingi sana.Achana nahiyo Mkuu.
Tena Bora Mimi nakupigia alafu nakuhudumia.
Msoga Gang wanapiga nabado Mtanzania ni masikin
Ndio Taifa lilipofikia,huyo anajiita ni daktari imagine anasema kabisa anakupa dawa za uongo na kweli,anatisha raia na taarifa za uongo ili apate pesa,Lakini haya Ni matokeo na kuzuka kwa vyuo vya afya kibao vinavyochukua form 4 failure wenye D tatu na kuwapa taaluma bila maadili.Dah this is unethical
Haya bwana kazi njema ila usituangushe tu ukaishia kamoja huku umesubiria masaaAmeshafikaaaaaa Babuu ,Yuko anajimwagia maji.
Wewe kwanini unaona utakamatwa? Ukijua hilo basi hizo ndio sababu zinazowafanya wao hawakamatwi.Ndo nataka kujua inakuwaje hawakamatwii?
Karibu mjini.Speaking from experience?
😅😅😅
Hajasema anatoa dawa za uongo ila unalikuza tatizo ili mteja afunguke vizuri...Ndio Taifa lilipofikia,huyo anajiita ni daktari imagine anasema kabisa anakupa dawa za uongo na kweli,anatisha raia na taarifa za uongo ili apate pesa,Lakini haya Ni matokeo na kuzuka kwa vyuo vya afya kibao vinavyochukua form 4 failure wenye D tatu na kuwapa taaluma bila maadili.
Mpaka nimeogopa , siyo sahihi kabisa ila ndiyo wapo na tupo naoNdio Taifa lilipofikia,huyo anajiita ni daktari imagine anasema kabisa anakupa dawa za uongo na kweli,anatisha raia na taarifa za uongo ili apate pesa,Lakini haya Ni matokeo na kuzuka kwa vyuo vya afya kibao vinavyochukua form 4 failure wenye D tatu na kuwapa taaluma bila maadili.
Medical ethic haielekezi hivi..... Medical ethics inaelekeza kuweka all possible options mezani hlf mgonjwa achague na siyo kudanganya na kupamba pambaHajasema anatoa dawa za uongo ila unalikuza tatizo ili mteja afunguke vizuri...
Hili kwenye biashara za ishu za afya halikwepekii.
Unatoka asubuhi unapanga kabisaa leo nina kimeo kinataka laki 3 na kweli jioni ukipiga hesabu ipo....
Mfano uwezo wa mteja ni kununua let's say dawa ya elfu 3 unamtengenezea mazingira kwa kulikuza tatizo ili aweze kununua dawa bora yenye kutibu ugonjwa huo huo so badala ya kununua ya elf 3 ananunua ya elf 20000. Plus vipimo na consultation .
Talking of ethics hapa Tanzania??Medical ethic haielekezi hivi..... Medical ethics inaelekeza kuweka all possible options mezani hlf mgonjwa achague na siyo kudanganya na kupamba pamba
Unafikiri kuwa unatoka tu uchafu halafu ukapewa dawa ya kaswende impact yake Nini?Hajasema anatoa dawa za uongo ila unalikuza tatizo ili mteja afunguke vizuri...
Hili kwenye biashara za ishu za afya halikwepekii.
Unatoka asubuhi unapanga kabisaa leo nina kimeo kinataka laki 3 na kweli jioni ukipiga hesabu ipo....
Mfano uwezo wa mteja ni kununua let's say dawa ya elfu 3 unamtengenezea mazingira kwa kulikuza tatizo ili aweze kununua dawa bora yenye kutibu ugonjwa huo huo so badala ya kununua ya elf 3 ananunua ya elf 20000. Plus vipimo na consultation .
Mzee kwahio unawapiga fix wagonjwa? 🤣Ni gharama.
Unatakiwa uwe na constant flow of money !!.
Mimi nawapiga piga sababu, Nikiingia Job, umezubaaa nimekupiga 100k , umekuja na mkeo Sijui anatokea uchafu , nakupa vitisho weeeee ili wee na Mkeo muogope kuwa wagumba hapo nawapiga helaa,. Nawapa dawa Bora nashikashika tu uongo nakweli.
Nakupigia helaaa.
Hiyo helaa ndio naenda kununua Viatu..au Kwa ajili ya mchepuko 🤣🤣🤣
Ka mshahara kako palepale, ka bizinez Kako palepale 🤣🤣