Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
- Thread starter
- #101
Wanaume ma....laa...Ayer huwa hampendi garama. Mko economic sanaKitu nisichopenda nipale Hela yangu itumike kistarehee zaidii.
Maana yake ukimpa za hiyo Hela, atakua anataka Sasa na Gauni nimtafutie la Laki , pafyumu ya ya Laki mbili 🤣🤣🤣🤣
Nitakua Sina akili kabisa .
Hapo chupi ya Elfu Tano,, Gauni Arobain, Pafyumu ya 35--55 .
Imeishaaa hiyo !! Kikubwa pafyumu iwe ya harufu nzuriii, Gauni zuriiii na chupi iwe nzuri ambayo naye ataipenda Kwa rangi na materials