Mku waache tu wasome.
Unajua ki anatomically, Kuna kitu tunaita Corpus Callosum , hi ni Bundle ya Nerve Fibers yaan nikama katyubu hivi kalikobeba ma nerves mengi sana karibia Milion 300.
Hii Corpus Callosum ni kama Daraja, tinaliita pia Neural Bridge Kazi yake ni kupitisha Mawasiliano ya Ubongo Upande wa Kushoto na kulia yaan left and right cerebral hemispheres !!.
Sasa Kwa Wanawake, hiii Daraja ni Pana alafu Refu , Kwa hiyo kufanya Wanawake wawe na uwezo mkubwa sana yaan informations zote za sensory , motor na cognitive , Kwa wanawake zinafanyika Kwa haraka sana.
Ndio MAANA Wanawake Huwa wanauwezo wa kujua hatua ya pili inayofuata na wenye kumbukumbu.
Sasa kilichotokea nn?.
Pamoja na kwamba wanahuo Uwezo, Sisi wanaume tulipewa Uwezo wa Kuwashinda !! 🤣🤣
Mwanamke unaweza kumwambia, aiseee Mimi Carlos Nina Wanawake wengi sanaaaaa na siwez kuwaacha,. Na mpaka ukanionyesha pichaaa zao ,akawaona.
Lakn huyohuyo mwanamke , ukimwambia, nmekuelewaa, naomba unipe Mzigo, naye atakupa tu bila hiyanaa !!.
Sio kwamba hawana akili, hapana, Wana akili sana na Uwezo mkubwa sana, ila Nature inawataka wawe hivo mbele ya Mwanaume.