Hivi wenzetu mnaowapanga wanaume au wanawake huwa mnawezaje

Unajua gubu la Athumani anakaguakagua simu yako hapo😁
Kama lile shenzy la jana liko busy eti unachat na nani na mwisho likasusa...
Hivi rafiki wa kawaida kweli unibane nisiingie hata jf kusoma ujinga wangu?
 
Yaani kifupi lazima uwe na hekaheka na tayari kwa tukio muda wowote...unakuwa zaidi ya mwanaharakati na zaidi ya customer service wa call center
Amani huna
 
Speaking from experience?
😅😅😅
 
Mpaka muda huu Uzi bado upo safe hakuna zile comments zileeee😂😂
Ila nacheka na comments mieeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hajasema anatoa dawa za uongo ila unalikuza tatizo ili mteja afunguke vizuri...
Hili kwenye biashara za ishu za afya halikwepekii.
Unatoka asubuhi unapanga kabisaa leo nina kimeo kinataka laki 3 na kweli jioni ukipiga hesabu ipo....
Mfano uwezo wa mteja ni kununua let's say dawa ya elfu 3 unamtengenezea mazingira kwa kulikuza tatizo ili aweze kununua dawa bora yenye kutibu ugonjwa huo huo so badala ya kununua ya elf 3 ananunua ya elf 20000. Plus vipimo na consultation .
 
Mpaka nimeogopa , siyo sahihi kabisa ila ndiyo wapo na tupo nao
 
Medical ethic haielekezi hivi..... Medical ethics inaelekeza kuweka all possible options mezani hlf mgonjwa achague na siyo kudanganya na kupamba pamba
 
Medical ethic haielekezi hivi..... Medical ethics inaelekeza kuweka all possible options mezani hlf mgonjwa achague na siyo kudanganya na kupamba pamba
Talking of ethics hapa Tanzania??
alafu TRA wakija watapunguza kodi kwa kuwa ulikuwa ethical ?
Anyways we are all unethical inategemea tu ni upande gani kila mmoja wetu ameangukia kwao
 
Unafikiri kuwa unatoka tu uchafu halafu ukapewa dawa ya kaswende impact yake Nini?
 
Mzee kwahio unawapiga fix wagonjwa? 🤣
Hii ni hatari sana bablai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…