Hivi wenzetu mnaowapanga wanaume au wanawake huwa mnawezaje

Talking of ethics hapa Tanzania??
alafu TRA wakija watapunguza kodi kwa kuwa ulikuwa ethical ?
Anyways we are all unethical inategemea tu ni upande gani kila mmoja wetu ameangukia kwao
😅😅😅 Kwahiyo unashauri nipige tu Hela?

Juzi ilikuwa nipige Dili ya milioni kabisa lkn mgonjwa nikampa all options akachagua kisichonipa Hela hlf kwangu ilikuwa fine tu.
 
Pole sana Nakadori

Hili suala ni wazi limekukwaza mno
 
Hahah Extrovert tupangeeeeeeeeeeee (kwa sauti ya kishabiki)
Aisee hayo mambo nilifanyaga wayback sana sikuhizi nimekua jentromeni.

Zama za mawe nilikuwa nakula mambo Geto A naenda kulala Geto B na mchusmely mwengine ila aisee ilikuwa ni kazi. Uwongo ni kidonge kichungu mno kukimeza. Unampanga mtu kwenye simu unaongelea bafuni 🤣🤣🤣 mwenzake kalala room.
 
😅😅😅 Kwahiyo unashauri nipige tu Hela?

Juzi ilikuwa nipige Dili ya milioni kabisa lkn mgonjwa nikampa all options akachagua kisichonipa Hela hlf kwangu ilikuwa fine tu.
Kama ukipiga utanimegea piga ila kama hutanimegea wala usipige.... kausha tu ujira wako mbinguni.
Uncle wangu DR hata asante hapokei anaamini sio sawa. Anazeeka maskini. Namzoom tu. Jina kubwaaa kwenye ukoo milioni 10 kwa account hana
 
Huwa sio hivyo
Dawa inatolewa yenye bei kubwa na sio ile ya buku ambayo mteja anaikimbilia bila kumtengeneza kisaikolojia
Mbona unamtetea Sana?
Anatakiwa aambiwe anavyofanya sio poa hata Kama Ni mwana....
Hawa ndio wanakuwaga watu na midawa migumu kisa waendeshe dispensary zao.
Suala la immune ya mtu sio poa kulichezea,uumpe mtu usugu wa dawa inahusu?
 
Hahaha kama mwehu vilee
 
Mbona unamtetea Sana?
Anatakiwa aambiwe anavyofanya sio poa hata Kama Ni mwana....
Hawa ndio wanakuwaga watu na midawa migumu kisa waendeshe dispensary zao.
Suala la immune ya mtu sio poa kulichezea,uumpe mtu usugu wa dawa inahusu?
Me nshafanya na najua tunavyofanya... ndo maana nakuelewesha
 
Omerta bwana unauliza unywe mkojo au usinywe kwelii?? Be serious basi japo kidogo.

Ila hizi heka heka za Carlos zimenichekesha sana
 
Hahaha jamaa uzuri wala hafichii
Mzee usipojitahidi kuwah huu uvimbe unaelekea kwenye cancer ... hujafunguka tuu??
Hahahahah mzee akiskia mambo ya kansa anawahi kufungua kibubu. Kuna doctor alitaka kuleta ujinga wa kunipanga eti mama ana uvimbe kwahio wakati wa kujifungua kama nitapenda autoe basi nimpe box 2 🤣🤣🤣!

Siku ya kujifungua hakuwepo akaja mtu mwengine na hakukuwa na cha uvimbe wala mbwai. Madokta wezi sana 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…