Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wako proud.Mpaka nimeogopa , siyo sahihi kabisa ila ndiyo wapo na tupo nao
😅😅😅 Kwahiyo unashauri nipige tu Hela?Talking of ethics hapa Tanzania??
alafu TRA wakija watapunguza kodi kwa kuwa ulikuwa ethical ?
Anyways we are all unethical inategemea tu ni upande gani kila mmoja wetu ameangukia kwao
Ujambazi kila kona nchi hii hata taaluma muhimu kama hii Carlos The Jackal fambaf sakoMzee kwahio unawapiga fix wagonjwa? 🤣
Hii ni hatari sana bablai.
Pole sana NakadoriWana wa Tanzania amani iwe kwenu.
Me Leo wala sina mambo mengi .....natamani tu kujua wale wenzangu mnaowapanga wanawake au wanaume zaidi ya mmoja, wawili au watatu au zaidi mnawezaje??
Me ningekamatwa day 1 kwakweli.
Yule shost angu aliyetulizwa kimazabe mazabe ndo ilikuwa zake.... yule hata 10 walikuwa wanafika. Unaweza kuta mmeenda kwenye mishe flani mnachukua Lodge unashangaa tu anakwambia G me Leo sitalala hapa nna mtu wangu nshampanga.... nabaki nashangaa mtu gani huyu kila mahali ana wa kumlala ....?
Ngoja nimuite Carlos The Jackal mtaalam kabisa atupatie uzoefu wake...inakuwaje kuwaje hawakamatwii?
View attachment 2557599
Updates baada ya kusoma comments
Carlos The Jackal ni bingwa wa kupanga wanawake
Kifupi ana nyota zake za kutosha na moto wake maalumu peponi.
Aisee hayo mambo nilifanyaga wayback sana sikuhizi nimekua jentromeni.Hahah Extrovert tupangeeeeeeeeeeee (kwa sauti ya kishabiki)
Kama ukipiga utanimegea piga ila kama hutanimegea wala usipige.... kausha tu ujira wako mbinguni.😅😅😅 Kwahiyo unashauri nipige tu Hela?
Juzi ilikuwa nipige Dili ya milioni kabisa lkn mgonjwa nikampa all options akachagua kisichonipa Hela hlf kwangu ilikuwa fine tu.
Mbona unamtetea Sana?Huwa sio hivyo
Dawa inatolewa yenye bei kubwa na sio ile ya buku ambayo mteja anaikimbilia bila kumtengeneza kisaikolojia
Hahaha kama mwehu vileeAisee hayo mambo nilifanyaga wayback sana sikuhizi nimekua jentromeni.
Zama za mawe nilikuwa nakula mambo Geto A naenda kulala Geto B na mchusmely mwengine ila aisee ilikuwa ni kazi. Uwongo ni kidonge kichungu mno kukimeza. Unampanga mtu kwenye simu unaongelea bafuni 🤣🤣🤣 mwenzake kalala room.
Me nshafanya na najua tunavyofanya... ndo maana nakueleweshaMbona unamtetea Sana?
Anatakiwa aambiwe anavyofanya sio poa hata Kama Ni mwana....
Hawa ndio wanakuwaga watu na midawa migumu kisa waendeshe dispensary zao.
Suala la immune ya mtu sio poa kulichezea,uumpe mtu usugu wa dawa inahusu?
Eeh bwana we acha tu, kazi sana yaniHahaha kama mwehu vilee
Nakadori leo umepinda balaa😁😁Pole ya nini
We nae Acha wehu basi
Anataka kufundishwa au anataka tu ubuyu? Aseme chap
Mpeni mbinu za kuwapanga japo najua wewe huwezagi...zaidi ya kutembezwa peku bila nauli😂😂😂😂Anataka kufundishwa au anataka tu ubuyu? Aseme chap
Hahahahah mzee akiskia mambo ya kansa anawahi kufungua kibubu. Kuna doctor alitaka kuleta ujinga wa kunipanga eti mama ana uvimbe kwahio wakati wa kujifungua kama nitapenda autoe basi nimpe box 2 🤣🤣🤣!Hahaha jamaa uzuri wala hafichii
Mzee usipojitahidi kuwah huu uvimbe unaelekea kwenye cancer ... hujafunguka tuu??