Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Kuna ujinga mwingi sana kwenye status za whatsappMimi kuna jamaa nimeona jana wameweka status za kumpongeza Prof. Janabi😏
Wewe ni msukuma?Mwanaume kuweka status whatsapp ni ujinga mtupu
Nakuelewa sana mkuu ulichoandika. Hiki ni kipimo cha maturityHuu mwaka wa kumi sasa sipo group lolote la watsapp, sijawahi kupost status, watsapp imejaa vumbi nishaisahau, sijawahi kupost chochote instagram tangu mwaka 2014
Usiwwshangae hao watu ni wapo kwenye Fast thinking, tulio ktk slow thinking huwa tunawasoma na kupita kimya kimya
Mimi sio MsukumaWewe ni msukuma?
Mimi mwenyewe sipendelei kuweka chochote kwenye status page hata kubadili profile picture. Inaweza nichukua mwaka ndio nabadili kwa kuwa najua mwili wangu na sura vinabadilika muonekano. Hata hivyo ni tunaacha watu wawe huru. Zamani Album za picha zilipatikana sebuleni ili mgeni akija aangalie matukio leo Album ziko mtandaoni.Hii kitu imenishinda kabisa.
Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.
Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.
Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.
Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.
Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.
Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabka ya hizo statu kuja utatuambia nini?
Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
Hayo ndio matumizi mabaya ya technology. Mtu huna mawasiliano naye na hana number yako ataonaje pongezi zako? Kujipa umuhimu usio na maana kwenye jamii.🤣🤣🤣Mimi kuna jamaa nimeona jana wameweka status za kumpongeza Prof. Janabi😏
Inategemea na biashara unayofanya, Pia na aina ya watu ulonao, kama circle yako ni ya watu wa hovyo huwezi ona umuhimu wake.Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status.
Siyo kila kitu ambacho wewe hukipendi ni ujinga, kuna vitu vikikupita accept kwamba siyo mikato yako.Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
Aina hii ya watu una Mute status zao haziwezi appear kwenye updates. Binafsi niligombana na wife kisa sikupost picha za harusi wala engagement 😆😆😆Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.