Hivi wenzetu mnaoweka status WhatsApp mnafaidika nini? Mna utoto mwingi sana

Hii kitu imenishinda kabisa.

Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.

Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.

Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.

Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.

Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.

Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?

Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
​
We mwenyewe mkwepu jr anakushangaa mwanaume mzima unaandika uzi Jf, wakati yeye aki react tu inatosha. Usiwapangie watu cha kufanya kama ambavyo ww hupangiwi
 
Kinachokutesa wewe ni roho mbaya na wivu tuu.
Hujalazimishwa ku-view status za watu,una uwezo wa kuchagua u-view status ipi.
Akili yako na uwezo wako mdogo wa kufikiri ndo umdkufanya udhani kwamba mtu kuweka status ni ujinga(kasome kwanza maana ya status)
Unadhani waliotengeneza kisha wakaweka option ya kuchagua u-view moja moja walikuwa hawana akili.
Unazeeka vibaya sana mkuu.
Wewe usipojipost sasa hivi ukifa tutakupost tuu.
Mkuu,ogopa sana ulimwengu wa Internet.
 
Mkuu nimejikuta nimewaza sijui kama na wewe ndicho ulichowaza maana nikafanya na reflection za kule X.

WhatApp ni social platform, wenda labda kama wewe unaichukulia poa.
Watu wanafanya biashara kupitia hizo status, kuna chanel kubwa zipo kule now, mabenki, taasisi za umma, watu maarufu n.k.
Kuna Chanel kama ya Fabrizio Romano ina followers karibua 30M.

Inategemea unatazama vitu katika angle gani mkuu, upo sahihi to your side. Siwezi kukulaumu.
 
Wewe ni msukuma?
Swali gani hili mkuu? Lengo lake ni nini? Haya sasa mimi ni Msukuma. Unataka nini? Kama una njaa njoo tupate msosi ushibe ili uache kuuliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu. Tena chukua hii picha ukaiweke katika Whatsapp status yako kabisa! 😂 😂 😂

meza.jpg
 
Hii kitu imenishinda kabisa.

Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.

Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.

Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.

Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.

Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.

Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?

Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
​
Nakubaliana na wewe!
Ila ungetoa njia mbadala ungeupiga mwingi? Je, kwakuwa miaka ya nyuma haikuwepo na sasa tuishi kama huko nyuma?
 
Attachments

  • FB_IMG_1710656054815.jpg
    FB_IMG_1710656054815.jpg
    45.4 KB · Views: 28
Hii kitu imenishinda kabisa.

Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.

Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.

Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.

Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.

Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.

Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?

Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
​
Watakwambia tunaenda na wakati!
 
Ulivomalzia ndo nikajua we ni hamnazo.
Kwahiyo wewe una akili kuliko META?
 
Hii kitu imenishinda kabisa.

Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.

Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.

Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.

Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.

Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.

Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?

Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
​
Mkuu, Status ni ubao wa taarifa unless phonebook yako ndo umesave wajinga wajinga ila kama una watu wanaojielewa ile haina tofauti na mbiu ya mgambo za zamani vijijini.
 
Hii kitu imenishinda kabisa.

Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.

Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.

Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.

Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.

Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.

Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?

Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
​
Na wanashabikia mpira wanapata faida gani labda tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom