Hivi wenzetu mnaoweka status WhatsApp mnafaidika nini? Mna utoto mwingi sana

Ila pia ni ujinga na wivu kidogo kuanzisha thread kuhusu whatsapp status jamiiforum..
Kila mtu ana uhuru Kamili wa kutumia kifaa chake..
Usitake kila mtu awe kama wewe..
Kama unaumia una-mute au delete namba yake hutaona tena..
 
We mchina una shida pahala.

Yaani hata mtu anaetangaza biashara zake whatsapp status bado unamnanga??
Kwani kuna shida gani mtu kuweka jambo status?

Kuna baadhi ya watunzi wa vitabu ambao huwa wanaviuza kwa softcopy, status kwao ndio njia rahisi kuwasiliana na wateja wao...

Hawezi kumcheki kila mtu kua ana kitabu kipya, atakachofanya ni kuweka taarifa hiyo status, watu wake zaidi ya 10k wataona. Content creators nao pia hutukia stutus kujitangaza nk.

Taarifa za misiba, sherehe, party mbalimbali stutus inaunganisha.

Japo hata mimi sio mpenzi wa kupost huko ila hakuna uhusiano wowote kati ya jinsi ya mtu na kupost status.
Hizi mambo kama za mleta uzi hata mimi nilikua nazo ila nikaja kuona ni mawazo ya kipumbavu, kisa wewe huwezi jambo fulani haimaanishi ni la hovyo na wanaolifanya ni hamnazo ilhali ni aibu zako na kutokua na mapenzi nalo binafsi na wala sio jambo baya kijamii.
 
Hii kitu imenishinda kabisa.

Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.

Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.

Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.

Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.

Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.

Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?

Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
​
Kwani status lazima uweke show off? Achaga utoto.

Mbona huko mitandao mingine hizo show off zipo zakutosha sana wewe umeona Whatsapp tuu?

Mwisho kama huna Cha kuonesha huwezi post chochote
 
Hii kitu imenishinda kabisa.

Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.

Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.

Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.

Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.

Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.

Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?

Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
​
Wewe na mwenye software yake nani ana akili?.
Sawa na kusema sitaki teknolojia afrika acha tukutane vijiwe vya kahawa.
Yani unaona teknolojia vitu vya kitoto alafu ukiumwa unaenda kutumia vyao.
 
Hii kitu imenishinda kabisa.

Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.

Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.

Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.

Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.

Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.

Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?

Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
​
Siku zote maskini Anakuwa na makasiriko yasiyo na maana.
Kupangiana maisha wabongo mnapenda sana unamuita mtu mjinga Bando lake, Simu yake, Kapost maisha yake.
 
Mimi naona ni wivu tu ndio unakusumbua au huna kazi ndio maana kutwa kucha kufatilia maisha ya watu huko kwenye status.
Kama hupendi kwanini usi mute au uache kuzifungua maana hakuna anaekulazimisha.
Itakuwa zinakuumiza sana kwani ni kama kwenye social media nyingine mtu anapost upande wake mzuri wa maisha wengine wanapost wako kwenye magari, biashara mara unaona classmates wako wako kwenye taasisi kubwa kubwa wanajenga majumba, lazima uumie
 
😂😂😂😂

Mkuu wewe na wao hakuna tofauti, wao wanapost status WhatsApp ila wewe unapost Jamii Forum.

Uandishi wa hii post yako haujatofautiana sana na uandishi wa post za WhatsApp Status hasa za kwenye contact list yako.

Anyways mi huwa sipost mara kwa mara ila napenda kufuatilia post za watu hasa wafanyabiashara.
 
Back
Top Bottom