spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Yale mapicha tulokua tunaweka sebulen ya familia wageni wakija saivi yanawekwa wapi?
Si kila anaweka status ana tatizo, status was originaly designed kwa wafanyabisshara bu then ikawa ni potential features. Some s watumaj wa mara kwa mara, wale wanaotuma mara kwa mara , vijembe au picha binafsi ndio wenye shidaHii kitu imenishinda kabisa.
Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.
Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.
Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.
Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.
Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.
Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?
Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
Hao ni watu wako. Umesave namba za wa jogging lazima uwaone waki jogging.Mimi hakuna watu wanonikera kama hawa wazee wa jogging kila siku kutuweka status li ramani la sehemu walizokimbia. Sasa unatuwekea sisi itusaidie nini?🤣🤣🤣🤣👐👐
Status ni umama sana 😄
Kuna wengine wanashangaa pia wewe kufuatilia maisha ya watu hadi kujua wanaweka status unafaidika nini?Hii kitu imenishinda kabisa.
Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.
Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.
Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.
Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.
Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.
Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?
Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
Na umri wangu huu,yani hata sijui wanawekaje huo UCHAFU huko kwenye Whatsapp!!!!!Hii kitu imenishinda kabisa.
Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.
Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.
Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.
Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.
Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.
Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?
Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
You will be fine... you will be fine. Jipe muda kila kitu kitakaa sawa.... una stress.Hii kitu imenishinda kabisa.
Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.
Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.
Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.
Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.
Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.
Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?
Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
Aepuke sana wanga ale zaidi protini. Ajitahidi pia kuepuka madeni.Kila zama na zama zake, punguza sukari, Anza mazoezi, hudhiria sana Ibada, jitahidi usivunjike maana Itakua kazi kuunga, hizi ni zama zao Wana namna ya kuishi maisha Yao vijana, japo Wana limits ya kushea vitu, lakn kama mtu anapost kuelimisha, kuchekesha Kuna tatizo gani? Basi wasitumie kabisa mitandao ya kijamii!!
Mtu anatembea kwenda dukani tu kununua vocha anajirekodi vidio anapost status afu ni kidume kabisa umri umeenda duuh.. yaani watu wanaforce kupost kila kitu tu tuone ili sijui tu tuwasifie au niaje yaani kuna watu washakua watumwa kabisa wa akili na hii feature.Mimi kuna jamaa nimeona jana wameweka status za kumpongeza Prof. Janabi[emoji57]
Mkuu umeongea jambo la msingi sana. Ni kweli jamii ya sasa imekengeuka kwa kiasi kikubwa sana. Ni ajabu kuwakuta wanaume wanafanya mambo haya na wengine wanafikia hatua ya kuvaa bukta mtaani pamoja vipochi vya kike na viatu vya kuchomeka (kama wanawake). Wapuuzi sana hawa kenge maji.Hii kitu imenishinda kabisa.
Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.
Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.
Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.
Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.
Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.
Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?
Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
Kwanza mm kati ya vitu ambavyo sivifuatilii ni kufungua status za watu.Mtu anatembea kwenda dukani tu kununua vocha anajirekodi vidio anapost status afu ni kidume kabisa umri umeenda duuh.. yaani watu wanaforce kupost kila kitu tu tuone ili sijui tu tuwasifie au niaje yaani kuna watu washakua watumwa kabisa wa akili na hii feature.
Mie kuna watu mpaka nishajua tabia, aina ya maisha yao na vyumba vyao vilivyo ndani na wanapolala kupitia tu status hasa wanawake wapenda show-off za kijinga...