DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Hamna tatizo lolote Mkuu hasa kibiashara inasaidia Sana kuwa relevant binafsi mitandao inasaidia Sana acha wapost
Wewe,sasa nini walazimisha wengine?Hii kitu imenishinda kabisa.
Gentleman,Hii kitu imenishinda kabisa.
Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.
Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.
Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.
Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.
Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.
Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?
Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
Mwenye akili ni yule aliyebuni huo mtandao. Wewe endelea kupambana na hali yako. Isitoshe hakuna anayeweza kuona status yako ya WhatsApp kama sio rafiki yako.Hii kitu imenishinda kabisa.
Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.
Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.
Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.
Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.
Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.
Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?
Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
Huo ugali mwekundu weka mbali na watotoSwali gani hili mkuu? Lengo lake ni nini? Haya sasa mimi ni Msukuma. Unataka nini? Kama una njaa njoo tupate msosi ushibe ili uache kuuliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu. Tena chukua hii picha ukaiweke katika Whatsapp status yako kabisa! 😂 😂 😂
View attachment 3339526
Imekaa kikike au unakataa tukueleweshe kwa vibokoEt huduma imekaa kikike 😄😄
Shida yenu huwa mnataka watu waishi jinsi mnavyoishi nyinyi.Kuna huyu rafiki yangu huwaga anapost wasanii au wachezaji wa yanga siku zao za kuzaliwa huwa namuuliza una namba zao anasema hana, nabakigi kimya maana huwezi kumshauri mtu na bando lake na simu yake.
Kwa nini bageshi? 😂Huo ugali mwekundu weka mbali na watoto
Sahihi mkuu nakubaliana na weweShida yenu huwa mnataka watu waishi jinsi mnavyoishi nyinyi.
Kila mtu ni ana interests na preferences zake
As long as hicho kitu anachofanya hakikuadhiri usihangaike nacho
Umetisha, mm nimefuta all social media imebakia hii JF, na whatsap na youtube..Huu mwaka wa kumi sasa sipo group lolote la watsapp, sijawahi kupost status, watsapp imejaa vumbi nishaisahau, sijawahi kupost chochote instagram tangu mwaka 2014
Usiwwshangae hao watu ni wapo kwenye Fast thinking, tulio ktk slow thinking huwa tunawasoma na kupita kimya kimya
Haya baba nimeelewa 😄Imekaa kikike au unakataa tukueleweshe kwa viboko
Kunywa piliton kiongozi, kisha jipige kifua jiambie hata wewe hauko matured ndio maana unaumizwa na mambo ya watu wasiokuhusu.Hii kitu imenishinda kabisa.
Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.
Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.
Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.
Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.
Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.
Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?
Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
Ukweli lazima uwe ukweli. Naunga Mkono hojaHii kitu imenishinda kabisa.
Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.
Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.
Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.
Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.
Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.
Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?
Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
Hii kitu imenishinda kabisa.