Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,526
- 7,289
Kuna bidhaa za kichina huwa naziona. Akili yangu inaniambia kuna viongozi wanapokea rushwa ili bidhaa za kichina ziingieHata wanaoshabikia bidhaa za kiwango cha chini za Kichina ni hivyo hivyo hivyo. Tukubali maisha hayana chaguo moja. Kila mtu na ashinde mechi zake.
Memory card na flash drive feki zipo nyingi sana mpaka ukiona dukani wanakuambia wazi kabisa unahitaji orijino au feki