Kama ni mtu wa biashara, status ni sehemu nzuri sana kujitangaza.Hii kitu imenishinda kabisa.
Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.
Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.
Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.
Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.
Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.
Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?
Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
Mkuu jiangalie unaweza Kuta unaanza kudata taratibu ila hujijui.Hii kitu imenishinda kabisa.
Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.
Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.
Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.
Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.
Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.
Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?
Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
No hard feelings bro ni mitazamo tuMkuu jiangalie unaweza Kuta unaanza kudata taratibu ila hunijui.
Niliona post Yako ukilalamika kwann watu hawanunui majiko ya umeme mara hii nakuona unawashambulia wanaoweka status mbaya zaidi hayo mambo yote ni personal.
Chukua hatua kabla mambo hayajaharibika.
Hata mm sipendezwi na hii tabaia lkn nadhani tuchukulie kuwa binadamu tuko na interest tofauti.Hii kitu imenishinda kabisa.
Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.
Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.
Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.
Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.
Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.
Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?
Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
ila kuna wengine kutokana na aina ya contents zao unawamute usione ujinga wanaopost (kwangu haunifurahishi)
Umesema vyemakupost stutus ni kama kutafuta tu attention
Mpige mute mkuu
PoaMpige mute mkuu
Kwani Lazima uangalie?Hii kitu imenishinda kabisa.
Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.
Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.
Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.
Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.
Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.
Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?
Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
Sidhani kama Umemuelewa mtoa mada! Hajazungumzia muundaji, hapa shida ipo kwa mtumiaji!Alieiunda hio status ni level gani ya ufaham? Sio kwamba wewe ndio umeichulia tofauti na walioiunda huko USA ?
Kwani Lazima uangalie?
Umesema vyemaSidhani kama Umemuelewa mtoa mada! Hajazungumzia muundaji, hapa shida ipo kwa mtumiaji!
ASI hukua na haja ya kuleta Uzi hukuNimeanza operation ya kupiga mute ujinga wao
Status kama shanga?Ndio nimetoka kuweka status