Hili Ni Tatizo Mtu Kupangiwa Matumizi ya Mke Alie Muoa Kwa Garama Zake Mwenyewe Bila Mchango.Hii kitu imenishinda kabisa.
Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.
Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.
Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.
Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.
Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.
Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara way back hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?
Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
Kwa sababu sina nnachopaswa kuonyesha kwa wengine.Kwa nini huwa hauweki status?
Kwa sababu sina nnachopaswa kuonyesha kwa wengine.
Sio ujingaNadhani umejionea jinsi ilivyo ujinga
mmiliki wa mtandao wa whasapp anaweza kukushtak unachafua brand yake.unda app yako achana na app za watu.itakusaidia kutozdisha ugonjwa wa kisukari.au uwezo wa kubuni ni 0% upo na mdomo pekee.
Chukulia kwa wepesi tu. Wengine wanaweka status kwa sababu za kibiashara. Wengine ni furaha, huzuni na mawasiliano pia. Furahia maisha maana ni mafupi hapa dunianiHii kitu imenishinda kabisa.
Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.
Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.
Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.
Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.
Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.
Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara way back hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?
Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
Hakuna uhusiano wowote kati ya mafanikio ya kibiashara na status za WhatsAppChukulia kwa wepesi tu. Wengine wanaweka status kwa sababu za kibiashara. Wengine ni furaha, huzuni na mawasiliano pia. Furahia maisha maana ni mafupi hapa duniani
Simu yake, bando lake, status yake, hujalazimishwa kuangalia.Hakuna uhusiano wowote kati ya mafanikio ya kibiashara na status za WhatsApp
Kabla ya status watu waliwasilishaje furaha, huzuni na mawasiliano?
Simu yake, bando lake, status yake, hujalazimishwa kuangalia.
Tatizo lako nini?
Utoto na show off za kijingaSimu yake, bando lake, status yake, hujalazimishwa kuangalia.
Tatizo lako nini?
Si kweliMbona status kuna wateja kibao. Kama namba yako Haina connection na watu WA maana huwezi elewa
Utoto na show off za kijinga ni haki za kibinadamu, kwani umelazimishwa kuangalia?Utoto na show off za kijinga
Miss Natafuta
Mbona ww unatumia simu kuwasiliana, c anze kutembea kuwafuata watu ili kuwapa taarifa ambazo sasa unatumia simu kiwapaHakuna uhusiano wowote kati ya mafanikio ya kibiashara na status za WhatsApp
Kabla ya status watu waliwasilishaje furaha, huzuni na mawasiliano?