Kaka kuna ujinga mwingi sana kwenye status, yaani kuna kipindi unaona aibu wewe unayeviewUnakuta zee zima eti linapost linaandika Lunch with my fwends
Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara way back hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?
Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
Maono gani coco?Njoo utwambie now maono ya haya yapoje kwa sasa n.k.
Yaani kama umejoini ya kisasa
Nilitaka kudunga dislike ya pili kumbe ya mwanzo #1 bado ipo 😊
Mkuu Achana naoUtoto na show off za kijinga ni haki za kibinadamu, kwani umelazimishwa kuangalia?
Hivi kwa nini watu mnakuwa wagumu sana kuelewa dhana ya uhuru wa mtu binafsi?
Hujui kuwa kwenye simu yake, Whatsapp yake, bando lake, mtu kama hajavunja sheria anaruhusiwa kufanya atakacho yeye, si utakacho wewe?
Dogo tatizo lako unajifanya unajua kila kitu yaaniMaono gani coco?
Hao itakuwa wana wivu tu.Mkuu Achana nao
Dunia siku hizi iko online
Acha tupige hela uku
Kuna watu wanajifanya wanajua duniaaaaa
Status Kwanza zinalipiwa
Yaani kuna watu huku ni viazi yaani achana nao
Tusipangiane matumizi ya bando johHii kitu imenishinda kabisa.
Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.
Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.
Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.
Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.
Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.
Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara way back hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?
Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
Siku hizi kuna kampuni zinaajiri watu wa kutafuta namba za watu randomly yaani .wanajua wakipost bidhaa zao katika watu elfu mbili mfano wakipost any affordable home item hawatakosa wateja.Hao itakuwa wana wivu tu.
Mtu hanihusu, kwanza status yake naangalia kwa nini?
Hao ni watu wenye wivu na wanaotaka ku control wengine tu.
Hawa watu wamezoea maisha ya kuwa control wengine, sasa by nature mambo ya mitandaoni kum control mtu ni vigumu sana.Siku hizi kuna kampuni zinaajiri watu wa kutafuta namba za watu randomly yaani .wanajua wakipost bidhaa zao katika watu elfu mbili mfano wakipost any affordable home item hawatakosa wateja.
Halafu kila MTU ana maisha yake duniani hapa.
Hahaaa mpaka unatamani asijue kama umeonaKaka kuna ujinga mwingi sana kwenye status, yaani kuna kipindi unaona aibu wewe unayeview
Oyaa hiyo hali huwa inanitokeaga sana, waweka status jau sanaHahaaa mpaka unatamani asijue kama umeona
🤝usipo penda au kufurahia kuna setting ya mute, ni kama simple block ya status.
Binafsi naona status za biashara za makampuni makubwa hadi ya nchi za nje. Daily napata status mpya za biashara tofauti tofauti duniani koteeSiku hizi kuna kampuni zinaajiri watu wa kutafuta namba za watu randomly yaani .wanajua wakipost bidhaa zao katika watu elfu mbili mfano wakipost any affordable home item hawatakosa wateja.
Halafu kila MTU ana maisha yake duniani hapa.
Hapooo 🙌As long as hainpunguzii au kuni ongezea kitu, why the hell should I mind?.
usipo penda au kufurahia kuna setting ya mute, ni kama simple block ya status.
Kuna watu wana status nzuri, maua fulani hivi amazing.Hapooo 🙌