Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Itategemea status ipi, wapo wanaotumia kutangaza biashara.Hii kitu imenishinda kabisa.
Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.
Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.
Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.
Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.
Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.
Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara way back hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?
Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga wa kuweka status.
Nitajie biashara iliyokufa kwa kutotangazwa kwenye status za WhatsAppUkisema zamani watu walifanya biashara na wakafanikiwa bila whatsapp, basi hivyo ndivyo watu walipeana jumbe mbali mbali bila kutumia JF na mitandao mengine ya kijamii. Hivyo na wewe ungetumia njia za zamani kufikisha huu ujumbe kwa watu.
Kuna sehemu nimetaja biashara kufa? Au na wewe nitajie maoni yaliyoshindwa kufika kwa watu kwa sababu ya kutokutumia JFNitajie biashara iliyokufa kwa kutotangazwa kwenye status za WhatsApp
😀😀😀Hiv watu wanaanzaje kuchukizwa na raha za wengine jamni km sio uchawiNi mtizamo wako..
Kuna watu mnachukizwa tu na mambo yasiyo ya msingi, mfano mwenzio akinenepa roho inakuuma. Mwenzio akufanikuwa unaumia , mwenzio akitingisha tako wakati wewe huna kishudu unaumia so si jambo jipya la kuhitaji mjadala wa kitaifa.
Mkwe wangu hionekani au ndo miwa imeanza huko na kilimo kimepamba motoSwali gani hili mkuu? Lengo lake ni nini? Haya sasa mimi ni Msukuma. Unataka nini? Kama una njaa njoo tupate msosi ushibe ili uache kuuliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu. Tena chukua hii picha ukaiweke katika Whatsapp status yako kabisa! 😂 😂 😂
View attachment 3339526
Ushamba ni kumnyanyapaa mtu aliyeamua kutumia simu yake, Whatsap yake, bundle lake, kufanya anachotaka yeye.Pigo za kishamba sana. Mimi Bora nibadili stories Instagram ila sio kuweka statues Whatsapp.
Na kwanini view status haoni kama yeye ndio mwenye shidaUshamba ni kumnyanyapaa mtu aliyeamua kutumia simu yake, Whatsap yake, bundle lake, kufanya anachotaka yeye.
Kama hupendi status usiweke tu.
Ukianza mpaka kuandika uzi kuonesha chuki yako kwa watu wasiokuhusu wakifanya mambo yao, hapo wewe ndiye mwenye tatizo.
Yeah ni ushamba uliopitilizaPigo za kishamba sana. Mimi Bora nibadili stories Instagram ila sio kuweka statues Whatsapp.
Binafsi hata whatsapp situmii kabisa..huu mwaka wa pili..documents zote nawaambia wanitumie kwenye Email.Yeah ni ushamba uliopitiliza
Yani mimi niende kuangalia status za watu wasionihusu kabisa?Na kwanini view status haoni kama yeye ndio mwenye shida
Ukiwa na hela unawaza mambo yako mengi sana hata muda wa kuchunguza maisha ya watu wasiokuhusu huna.Pambana ujitoe kwenye umasikini,.. ukiwa umejipata, utagundua kuwa maisha binafsi ya watu na mambo yao hayakuhusu kabisa!
Nakusisitiza kijana; Tafuta hela!!
Umesema vyemaBinafsi hata whatsapp situmii kabisa..huu mwaka wa pili..documents zote nawaambia wanitumie kwenye Email.
Just Imagine sometime tuache watu waishi maisha yao bhana tunakuza mambo mnooo lol 😆Yani mimi niende kuangalia status za watu wasionihusu kabisa?
Halafu zinichukulie muda wangu kuifikiria.
Halafu nipate muda wa kuanzisha uzi JF.
Halafu ni type kabisa kuandika chuki zangu dhidi ya watu.
Watu wanaotumia simu zao, Whatsapp zao, bundle zao, kuweka status zao.
Mimi kabisa? Kabisa kabisa? hyiiiiiiiiiiii (kwa sauti ya Magufuli)
Angalia sircle yako,kwa wajasiliamali WhatsApp status ni platform ya ku-showcase services au bidhaa zao. Kama wewe unapata za vijembe na mipasho tu then change your circleHii kitu imenishinda kabisa.