Hivi wenzetu mnaoweka status WhatsApp mnafaidika nini? Mna utoto mwingi sana

Hivi wenzetu mnaoweka status WhatsApp mnafaidika nini? Mna utoto mwingi sana

Bagoshaa ni mgumu mno tumboni kusagika ๐Ÿ˜Š ๐Ÿ˜Š ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜†
Yeah! Ulishawahi kuula?

Hata kwa mtu mzima siku za mwanzo mwanzo ni shughuli. Inashauriwa unapouanza uusindikize na juisi ya ukwaju mpaka system itakapozoea. Vinginevyo ni majanga aisee. Nilishashuhudia mdada kutoka mjini akilia kama mtoto mdogo huku akiomba msaada. Kwa vile nina roho njema sana nilimsaidia; na hili lilitujengea ukaribu mno tukawa marafiki sana. Mpaka leo nikimkumbushia huwa anacheka kweli ๐Ÿ˜‚
 
WhatApp ni social platform, wenda labda kama wewe unaichukulia poa.
Watu wanafanya biashara kupitia hizo status, kuna chanel kubwa zipo kule now, mabenki, taasisi za umma, watu maarufu n.k.
Kuna Chanel kama ya Fabrizio Romano ina followers karibua 30M.

Inategemea unatazama vitu katika angle gani mkuu, upo sahihi to your side. Siwezi kukulaumu.
Kuna mpaka channel za taarifa ya habari, biashara, michezo ambazo nazo Zina vutia matangazo kutoka kwa mabosi.

Sasa wasipo post wata kula wapi?
 
Yeah! Ulishawahi kuula?

Hata kwa mtu mzima siku za mwanzo mwanzo ni shughuli. Inashauriwa unapouanza uusindikize na juisi ya ukwaju mpaka system itakapozoea. Vinginevyo ni majanga!
Khaa chakula gani hiko sasa...ila lengo najua kwao ni ushike tumbo na kukaa muda mrf tumboni....sijawai kula aisee mama yetu hakuwahi kutupikia huo ugali japo tumeishi na wala huo ugali kwa muda mrf pindi nipo mdogo...nilikua naona wtt wanavyolia wakati wa ku puu... ๐Ÿ˜Š ๐Ÿ˜Š ๐Ÿ˜Š ๐Ÿคฃยฒ
 
Na wewe unajiona mwanaume kamili kufungua huu uzi??
Bure kabisa, vidume halisi wanachuna na hata hizo status hawafungui.
Acha kujipa umuhimu kwa watu usiwapa maisha.
 
Swali gani hili mkuu? Lengo lake ni nini? Haya sasa mimi ni Msukuma. Unataka nini? Kama una njaa njoo tupate msosi ushibe ili uache kuuliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu. Tena chukua hii picha ukaiweke katika Whatsapp status yako kabisa! ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚

View attachment 3339526
Wabheja sana nkulu wise, Dona Ile ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ.
 
Khaa chakula gani hiko sasa...ila lengo najua kwao ni ushike tumbo na kukaa muda mrf tumboni....sijawai kula aisee mama yetu hakuwahi kutupikia huo ugali japo tumeishi na wala huo ugali kwa muda mrf pindi nipo mdogo...nilikua naona wtt wanavyolia wakati wa ku puu... ๐Ÿ˜Š ๐Ÿ˜Š ๐Ÿ˜Š ๐Ÿคฃยฒ
Yeah. Ni ugali mzito na wenye faida nyingi za kiafya. Ukiula inabidi uende ukafanye kazi nzito nzito huko (ikiwemo ile ya kuiheshimisha ndoa yako). Na ukiuzoea hauna shida hata ukienda main office.
 
Nakuelewa sana mkuu ulichoandika. Hiki ni kipimo cha maturity
Hapana kiongozi kuto post status haimaanishi kuwa ndio ana maturity. Unamuona matured kwa sababu upo nae kwenye mlengo mmoja. Hapost kwa sababu ugali wake haupatikani huko na si vinginevyo. Mtu kama MO anapost instagram, twitter na platforms zingine unataka kusema hayuko matured? Hapana, ni maisha yake yanamtaka awe hivyo na hio imejenga tabia. Kwa dunia ya sasa kama ugali wako unapatikana kwa boshara ya kupostika (kuna biashara hazipostiki) basi visibility ni kitu cha muhimu sana.

Hata yule anaepost akila ugali samaki restaurant msimuone mwehu, kuna watu biashara zao wameziingiza kwenye life style zao, the more watu wanavyofuatilia life style zao the more wanapata wateja.
 
Hii kitu imenishinda kabisa.

Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.

Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.

Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye WhatsApp status.

Kuna wale wanawekaga kila tukio lake la kila siku hata kama yuko njiani anatembea na mtoto wake.

Kwa nini uexpose kila kitu kuhusu maisha yako kwenye mitandao? Privacy is paramount.

Kuna wale watakuja kusema wanaweka biashara zao. Hakuna uhusiano wowote katika kufanikiwa kibiashara na WhatsaApp status. Watu wanapiga biashara hata kabla ya hizo status hazijaja utatuambia nini?

Kwa mtu aliye mature enough hawezi kufanya huu ujinga.
​
Ndo maana me situmii WhatsApp kumbe mambo yako hovyo kihivyo
 
Ninainjoi sana kuangalia zile video za mzee wa fyuu fyuu, ile anaweka kidole shingoni na kamluzi. Zinachekesha sana, nikiona kali sana nadownload na kuweka WhatsApp status ili na wengine wacheke pia
 
Sasa mtoto wa kiume unachukizwa vipi na jambo lisilokuhusu yaani mpaka unakuja kulalamika huku.......

Yaani bundle ni lake....simu ni yake lakini tena mnataka kumpangia hata namna ya kutumia kifaa chake......

Kwa kweli ndio maana tatizo la afya ya akili linazidi kuwa kubwa kila siku
 
Swali gani hili mkuu? Lengo lake ni nini? Haya sasa mimi ni Msukuma. Unataka nini? Kama una njaa njoo tupate msosi ushibe ili uache kuuliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu. Tena chukua hii picha ukaiweke katika Whatsapp status yako kabisa! ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚

View attachment 3339526
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ hivi watu wanawachukuliaje nyinyi Wasukuma?
 
Back
Top Bottom