Hivi wenzetu mnaoweka status WhatsApp mnafaidika nini? Mna utoto mwingi sana

Angalia sircle yako,kwa wajasiliamali WhatsApp status ni platform ya ku-showcase services au bidhaa zao. Kama wewe unapata za vijembe na mipasho tu then change your circle
Wote wapo
 
Ni moja ya haiba za kike kama zilivyo nyingine tu.

Kwangu mimi mara ya mwisho kuweka Whatsapp status ni kipindi nikiwa na miaka 11 na kipindi hicho sometimes nilikuwa navalishwa nguo za kike kama gauni.

Tangu nimeanza kuvaa nguo za kiume sijawahi kufanya huo upuuzi hadi sasa
 
Wabongo bhana mna shida sana
 
Umesema ukweli mtupu lakini hapo kwenye biashara hapo hebu katafakari upya


Nasema hivyo kwa sababu watu wengi niliofanya nao biashara nimejua bidhaa zao kwa kianzia na status zao kwenye Whatsapp
 
Unaelewa kwanza maana ya status?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…